Aina za Uchawi wa Kisambaa

Kuna wataalam wanakitoa na hivyo mtu anarudi katika hali ya kawaida.
ukitolewa ukaonyeshwa unaweza kuwaza kuhusu science iliyotumika kuingizwa mwilini mwako! unaweza ukatolewa mfupa wa nguruwe au manyoya yake unaweza ukatolewa nywele jiwe betry au hirizi mwilini mwako yaani kila amchawi ana kitu chake alichokupigia kisimo
 
Hiyo kisimo ina tiba?
Kuna wataalam wanakitoa na hivyo mtu anarudi katika hali ya kawaida.
Prime Minister mkuu.
 
Onga mosiye ? Haya nzeze mghoshi
 
Umesahau USINGA au USHINGA huu uchawi hutegewa mke anayetembea nje ya ndoa. Akishategewa kwa kutegwa sehemu ambayo huyo mwanamke atauruka, huyo mchepuko wake atapata hamu kubwa Sana ya kuonana na huyo mwanamke, akishatembea naye hachukui muda lkn abdala kichwa wazi atakua amesimama.
Baada yakuutega Mara nyingi mume lazima asafiri ili kumuepuka huyo mke wake ambaye Ni bomu kwa wakati huo. Ukitaka kujua Kama mwanamke ametegewa pitisha kisu au panga sehemu zake za mbele. Kisu kisipikatika mama Yuko salama.
 
kinakatikaje
 
Sijaona Shakiizii hapo??

Sijaona usinga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…