Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
- Thread starter
-
- #61
Natamani wote wangekuwa kama wewe maisha yangekuwa rahisi sana
Sema tu unapenda uzinzi, bac
Napenda ndoa/agano ambalo Mungu tu ndo msingi sio dini
Sijaelewa kabisa
Na hutoelewa kamwe...
Kwann unawaondoa wakatoliki
Yaani hapo kwenye kilaji yaani dini zote zinapiga vita pombe ajabu maandalizi ya harusi yanafanyika bar yakisindikizwa na kilevi alafu ndoa ya kidini baada ya hapo sherehe kubwa ukumbuni tena watu wanapombeka (ndio nikasema tuwaondoe wakatoliki maana wao huwa wanasema kunywa kwa kiasi ila usilewe wakati hawa wengine waislam na wakristo madhehebu mengine yanakataa pombe)
Penyewe hapa kakaOne for the lord
Unakuwaje na Mungu bila dini, hujui maana ya dini kaa kimya na sio kubinua kijambio hapa