G
Ndoa zote mtu akiamua kutoa talaka anatoa tu wala hakuna kinachomzuia!
Hata ya kanisani mwanaume/mwanamke akiamua kuwa sikutaki,sasa utafanyaje? kwa sababu unaweza kuweka pingamizi la ndoa yingine lakini bado wakaendelea kuwa pamoja!
Kwa hiyo ndoa zote ni sawa kisheria.
Mabinti wengi wangekuwa kama wewe nadhani vijana wengi wangetangaza nia lakini tatizo mabinti wengi hasa kinamama wakikomaa wanaweka mchakato mrefu wa maandalizi mpaka inabidi watu waanze kujipanga na kwenye kujipanga ndipo ibilisi anapopita na ukakuta tena watu wanatengana. Wengi wanakuwa watumwa wa harusi kuliko ndoa yenyewe mwisho wa siku kwenye harusi unaonekana kama Pdiddy alafu uhalisia wa maisha yako unaishi kwenye chumba na sebule.Ni ujinga na ulimbukeni tu,mtu wa aina hiyo muulize anataka ndoa au harusi? Mim nakumbuka yangu kwakweli sikutaka hata sherehe ila ndugu ndo walishinikiza sana hilo coz wote tumekutana lastborn basi kila mmoja alikuwa na usongo na ndoa yetu.
tulichokifanya na mwenzangu coz wote hatukutaka mambo makubwa,nilimbana sana mwenzangu ile miezi kama 8 ya kuandaa michakato tulijitahidi tukanunua kiwanja tukaanza ujenzi tukachagua raman simple but good tukajibana mpka tukahakikisha tumepaua kisha kama bado miezi 3 tukaanza vikao wakati huo tayari ndoa ishaandikwa kanisani,kamati ilikuwa ya watu 7 tu,mm,mwenzangu,kaka na mkewe hubby,best friends 2,mm nilikataa sendoff nikafanya kitchenparty tu very simple but very nice. Tukajitahidi kwanza kuandaa vitu muhimu vunavyofanya iitwe ndoa kwanza pete kisha nguo tena kashela kangu very simple but good nilikabun mwenyewe,kisha tukatulia tukagawana Majukumu hao wanakamat kisha sisi tukarud kwenye ujenzi tukamalizia finishing bado mwez sisi mambo yetu yakawa yamekamilika kisha tukarudi kuandaa ndoa,tukafunga ndoa na kila kitu kilikuwa njema sana.
Na wengi wanapenda ndoa za kidini hata kama katika maisha ya kawaida huwa hawajishughulishi na mambo ya dini, ila kama watu watafuata misingi ya kidini nadhani ndo zingekuwa zinadumuTena ndoa nyingi za kikristo zimevunjika imebaki cheti wengi wameoa/kuolewa fresh tu na ndoa wamefungia madhehebu mengine. ...manaake kiukweli km mtu hakutaki ufanyaje?
Haya mambo ya dini na taratibu na sheria zilizowekwa na viongozi wa dini issue Mungu ndo muhimu
Hata wewe unasupport huu ujinga? Mungu ana mke?
Hata wewe unasupport huu ujinga? Mungu ana mke?
mbona za mkeka sijaona hapa???
Ndo zipi hizo mkuu?
Napenda ndoa/agano ambalo Mungu tu ndo msingi sio dini
Mabinti wengi wangekuwa kama wewe nadhani vijana wengi wangetangaza nia lakini tatizo mabinti wengi hasa kinamama wakikomaa wanaweka mchakato mrefu wa maandalizi mpaka inabidi watu waanze kujipanga na kwenye kujipanga ndipo ibilisi anapopita na ukakuta tena watu wanatengana. Wengi wanakuwa watumwa wa harusi kuliko ndoa yenyewe mwisho wa siku kwenye harusi unaonekana kama Pdiddy alafu uhalisia wa maisha yako unaishi kwenye chumba na sebule.
Btw kama hali itaruhusu fanya sherehe lakini hesabu zikigoma endeleza mchakato tu kwani dhana ya ndoa ni kuingia kanisani, nyumbani kwa bi harusi (kwa waislam) au kwa DC kwa ya serikali, mambo ya sherehe ya kufa mtu ni ziada tu. Maana hahiingii akilini mtu unafunga ndoa ya kidini (tuwaondoe wakatoliki) alafu vikao vya harusi vinafanyika Bar, ndoa kanisani alafu sherehe ukumbini pombe za kufa mtu
Hahahahaa tatizo watu mnafanya direct translation....mnachukua dhana ya ndoa tulizonazo wanadamu na kuipaste kama ilivyo. Maana yetu ni kwamba kuna watu wameamua kotoolewa au kuoa kwaajili ya kumtumikia Mungu.....ni sawa wamefunga ndoa na Mungu ama sivyo?
Acha uwongo we binti, ndoa ni mahusiano kati ya mume na mke...!
Kusema Mungu awe Mume nawe uwe Mke, vipi kwa kwa mwanamume, Mungu atakuwa nani..
Hujaelewa au unajifanya kutokuelewa?
Msikitini siyo dini?Ndoa za msikitini hakuna?
Labda wao wanaruhusiwa kufanyia vikao vya harusi barKwann unawaondoa wakatoliki
Maarufu kama ndoa za mkekani zile ambazo unaozeshwa mda mfupi baada ya kufumaniwa na binti.. hizi ni express ,,pia gharama ni nafuu sana na unaweza usitoe mahari
Atakuwa anamaanisha ndoa za mkeka haujazitaja hapoNdo zipi hizo mkuu?
Natamani wote wangekuwa kama wewe maisha yangekuwa rahisi sanaNi ujinga na ulimbukeni tu,mtu wa aina hiyo muulize anataka ndoa au harusi? Mim nakumbuka yangu kwakweli sikutaka hata sherehe ila ndugu ndo walishinikiza sana hilo coz wote tumekutana lastborn basi kila mmoja alikuwa na usongo na ndoa yetu.