Aina za Ndoa

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,537
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania hasa ile ya ndoa, kuna aina zifuatazo za ndoa:-


1: Ndoa ya kimila

2: Ndoa ya serikali

3: Ndoa za kidini na

4:160. Presumption of marriage

Ndoa itokanayo na dhana ya ndoa; hii ni ndoa ambayo mwanamke na mwanaume wamekaa pamoja ndani ya nyumba kama mke na mme kwa muda wa miaka miwili na kuendelea na wote wakapata hadhi ya kuwa wanandoa.


(1) Where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.

(2) When a man and a woman have lived together in circumstances which give rise to a presumption provided for in subsection

(1) and such presumption is rebutted in any court of competent jurisdiction, the woman shall be entitled to apply for maintenance for herself and for every child of the union on satisfying the court that she and the man did in fact live together as husband and wife for two years or more.

The court shall have jurisdiction to make an order or orders for maintenance and, upon application made therefor either by the woman or the man, to grant such other reliefs, including custody of children, as it has jurisdiction under this Act to make or grant upon or subsequent to the making of an order for the dissolution of a marriage or an order for separation,

as the court may think fit, and the provisions of this Act which regulate and apply to proceedings for, and orders of, maintenance and other reliefs shall, in so far as they may be applicable, regulate and apply to proceedings for and orders of maintenance and other reliefs under this section.


Wewe unapendelea aina ipi ya ndoa kati ya hizo?

 
Hapo inategemeana na muhusika unapendelea muelekeo upi,wake wengi au? Hizo zote zinaruhusu zaidi ya mke mmoja kasoro ya kidini upande wa dini ya kikristo, na hii ndo nayoipenda.

Mtoa mada naomba nisaidie juu ya hili je ndoa ya Serikali inaruhusu wake wengi?
 

Ok, Ndoa ya serikali hairuhusu ila inatazamiwa kuwa ya wake wengi, yaani hakuna popote inaporuhusu ila "Inatazamiwa"

ila hapa siyo lazima mume aoe mke zaidi ya mmoja, inategemeana, wengi wanaipenda kutoka na haina gharama kubwa wala c time consuming, ni kama ya wenzetu wa kiislamu kwa upande huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…