Aina za ndoa 2023

Anak Anakutosa vibaya mno
 
Nilishuhudia ndoa ya mimba ilivunjika mtoto akiwa na miezi 9
 
Hiyo namba 10 tena binti ndiye anainitiate mahusiano kwa kujilengesha, ukinasa umekwisha wanakuwaga na hesabu kali.
 
Ndoa No. 1 inafungwa na waislamu pekee, zilizobaki zote wote tunahusika kwa namna moja au nyingine
 
Hamna ndoa Kama hiyo katika uislamu labda uipeleke kwenye mila
Ushawahi kuta Padre au mchungaji anafungisha ndoa ya watu waliofumaniwa? Lakini mashehe walishawahi fanya hayo..!! Labda kama umeamua kubisha
 
Hahahaaa housegirl ndo ana control mchezo
 
kuna NDOA NDOIGE
hii ndowa hipo kwa ndugu zetu waislamu sana sana.imebeba yote uliyoeleza
 
Ushawahi kuta Padre au mchungaji anafungisha ndoa ya watu waliofumaniwa? Lakini mashehe walishawahi fanya hayo..!! Labda kama umeamua kubisha
Mkuu Shekh akifanya hivyo Haina maana kuwa Jambo Hilo limeamrishwa,,,

Hivyo Shekh akifanya hivyo wakati uislam haujaamrisha hivyo hiyo Ni haramu yake
 
Mkuu Shekh akifanya hivyo Haina maana kuwa Jambo Hilo limeamrishwa,,,

Hivyo Shekh akifanya hivyo wakati uislam haujaamrisha hivyo hiyo Ni haramu yake
At least you got my point.
Lakini nyie kukana ndiyo zenu. NASISITIZA, NDOA YA MKEKA INAFUNGWA NA WAISLAMU PEKEE
 
10. NDOA KUCHUMA
Ndoa hii ufungwa ili mradi muoaji au muolewaji akapate kitu au vitu fulani kutoka kwa upande mmoja wapo. Hii hudumu miaka kadhaa kutegemea na malengo ya mhusika. Wengine husubiri mpaka mhusika afe,lkn hujikuta wanakufa wao kwanza
Hahahahaha mkeka unakuchanikia
 
Mbona ndoa za "Ramadhani" haujazitaja?

Zile nyingi nyingi zinazofungwa kwa mihemko ya mwezi mtukufu!

Yote kwa yote, umeonesha udhaifu katika utafiti wako kwa kuweka hitimisho kwa kila aina ya ndoa, ambapo siyo sahihi na siyo kweli!

Chanzo chochote cha ndoa chaweza kuhitimishwa kwa upendo.

Na pia chanzo chochote cha ndoa chaweza kuhitimishwa kwa kusambaratika.

Natolea mfano kwangu mwenyewe;
Mke niliyenaye nimeishi naye zaidi ya miaka 30 sasa bila ya tatizo lolote, lakini nilivyompata sasa!

Nilipomuonesha nia akawa hanitaki, tena kwa kashifa zake za kishenzi, eti "tena nimkome kama nilivyokoma kunyonya ziwa la mamangu mzazi!"

Kunikataa kwa mdomo mdomo ndipo alipo nitibua na kukazia nia yangu na kumuonesha kwamba mi zaidi.

Nikaweka mamluki kwenda kumjaza vitisho kwamba mimi ni mchawi hamnepo na kwa matusi aliyonitukana ninaweza kumaliza ukoo wao mzima kama hataangalia😆😆😆!

Vitisho vikamwingia binti, akatuma wajumbe kuja kumuombea msamaha nikakataa.

Nikaongeza masharti kwamba akiniona awe ananikwepa tusionane na ikitokea tumekutana basi asinisalimie vinginevyo kifo kinamhusu!

Nikaona kama anapuuza, nikaweka mazingira ya kesi.

Akashitukia namshitaki kwa mwenyekiti, mashahidi ni wale alokuwa anawaeleza zile kashifa kunihusu!

Mwenyekiti kutaka kutusuluhisha nikakataa nikaomba kwenda mbele.

Mamluki wangu nikawapanga kwenda kumzidishia vitisho, "kachezea pabaya na safari hii anafungwa" sitaki ujinga mie.

Akajiongeza akaomba tukutane naye.

Tulipo kutana naye, alijiandaa kisaikolojia kunipatia "rushwa" ili yaishe!

Nikakubali kupokea hiyo "rushwa", kweli yakaisha, mahari ikatolewa, ndoa ikafungwa na mpaka sasa ndiye mke.

Ndiyo kusema chanzo chaweza kuwa ni cha vurugu, ama sura yoyote lakini baadaye upendo na maelewano yakatengenezwa juu kwa juu na watu wakaishi daima dumu!
 
13.Ndoa Ndoige
ndoa za mke mmoja, kwa wenzetu wakristu, hapo ukijichanganya umekwisha, ukipigwa kama umepigwa na ukipiga kama umepigwa tu, mwanamke ana relax mana hamna competition wala kipengele cha kuvunja ndoa hakipo,kwenye ndoa hizi mara nyingi wanawake ni mabonge na matumbo makubwa sababu ya ku relax na wanaume hukonda sana, wanaume huishia kujinyonga au kuwa na michepuko ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…