fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 538
- 562
Habar jf
-Mpaka utakapooa ama kuolewa, vinginevyo ni bado upo SINGLE !
Joline ![emoji38][emoji38]supasingo
Niambie COMPTONJoline !
Unahitajika kituo cha kati kutolew ushahid maneno yako uliotoa!haiwezkan iwaseme ivo single pro maxWengne tupo namba 1000 ile ambayo ni masta single yaani ukija geto soksi ndio dodoki ,,Sufuria 1 linapika chai,ugali,wali,pilau, n.k kuna tusabuni twingiii twa kupigia nyeto yaani raha jipe mwenyewe
Picha uliyoweka kwenye DP naamini unaipenda, ni kweli una mfanano na hiyo picha?Niambie COMPTON
najaribu kutizama muda uli-kommenti hapa sio mchezoHaya ni majungu mkuu😀
HahahahaWengne tupo namba 1000 ile ambayo ni masta single yaani ukija geto soksi ndio dodoki ,,Sufuria 1 linapika chai,ugali,wali,pilau, n.k kuna tusabuni twingiii twa kupigia nyeto yaani raha jipe mwenyewe
Yaani mkuu jana nimelala saa kumi alfajiri, nilikua humu nazurura tu😂najaribu kutizama muda uli-kommenti hapa sio mchezo
kabla sijabadili ID nilitaman kuja pm...lkn sasa nina id mpyaYaani mkuu jana nimelala saa kumi alfajiri, nilikua humu nazurura tu😂
Sijakuelewa umebadili Id? Why?kabla sijabadili ID nilitaman kuja pm...lkn sasa nina id mpya
Hata me nimeliona hiloHaya ni majungu mkuu[emoji3]
passw0rd zilikataa kabsaa ku-reset nimejarib nimeshindwa bas nina acc mpya maisha yanasongaSijakuelewa umebadili Id? Why?
Ila asitutishee😀Hata me nimeliona hilo