AlphaBlond
Member
- Apr 1, 2015
- 11
- 4
(b)Ngono za Matamanio na Genye.
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 302"]
[TR]
[TD="width: 403, colspan: 2"] NGONO ZILIZO SAWA(EQUAL)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 204"] WANAUME
[/TD]
[TD="width: 199"] WANAWAKE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 204"] Genyeg Kidogo
[/TD]
[TD="width: 199"] Genye Kidogo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 204"] Genye Kiwango cha kati
[/TD]
[TD="width: 199"] Genye kiwango cha kati
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 204"] Genye kiwango cha juu
[/TD]
[TD="width: 199"] Genye kiwango cha juu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 302"]
[TR]
[TD="width: 403, colspan: 2"] NGONO ZISIZO SAWA(UNEQUAL)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] WANAUME
[/TD]
[TD="width: 214"] WANAWAKE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Genye kidogo
[/TD]
[TD="width: 214"] Genye kiwango cha Kati
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Genye Kidogo
[/TD]
[TD="width: 214"] Genye kiwango cha Juu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"]
[/TD]
[TD="width: 214"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Genye kiwango cha kati
[/TD]
[TD="width: 214"] Genye Kidogo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Genye kiwango cha kati
[/TD]
[TD="width: 214"] Genye kiwango cha juu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Genye kiwango cha juu
[/TD]
[TD="width: 214"] Genye kidogo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Genye kiwango cha juu
[/TD]
[TD="width: 214"] Genye kiwango cha kati
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mwanaume mwenye nguvu kidogo na genye za hali ya chini ambaye wakati wa kungonoka hamu yake ina kuwa kidogo,mwenye shahawa chache na dhaifu na ambaye hawezi kuvumilia joto la mwanamke anaitwa mwanaume mwenye genye kidogo.Wanao tofautina kidogo na hawa wanaitwa wenye genye kiwango cha kati na wale wenye nguvu nyingi na ngenye sana ,shahawa nyingi na wanaoweza kuvumilia joto la mwanmke na kumbato kwa muda mrefu wanaitwa wenye genye kiwango cha juu.Na kwa namna hiyo hiyo wanawake wanagawanyika kama myumbulisho ulivyo kwa wanaume kutokana na hamu na genye za kungonoka.
(c)Ngono kutokana na Muda wa Tendo.
Ila kwa hili la muda kuna maelezo ya ziada yanahitajika kwa upande wa wanawake.Wanawake hawakojoi au kupiz kama wanaume.Wanaume ni rahisi kumaliza haja zao baada ya kukojoa au kupiz ila kwa wanawake hutengeneza hali Fulani ya matamanio katika akilia zao wakati wa ngono,husikia hali flani ya utamu ambao hauelezeki ambao huwapa utamu na kuwaridhisha ambao ni vigumu sana kwa wao kuuelezea ni utamu wa namna gani wanaousikia.Ukweli unadhihirika kwenye hili kwamba wanaume utamu wao unaishia baada ya kukojo au kupiz na wana kuwa wameridhika lakini kwa wanawake haiko hivyo.
Maelezo haya na ufafanuzi huu yanapingana ikiwa mwanaume ni wa muda mrefu mwanamke anampenda zaidi na akiwa wa muda mfupi wahuni wanaita one minute man ni vigumu kumridhisha mwanamke na hatopendwa na wanawake.Na kwa mazingira haya wengine wanasema wanawake wanakojoa na kupiz kama wanaume.
Lakini mtanzamo huu unamashaka vilevile kwa sababu inachukua muda mrefu kuweza kumridhisha mwanamke na kwa muda wote huo anakuwa anapata furaha na utamu usio na kifani na ni sahihi kabisa angependa uendelee kwa muda mrefu.
Na kwa hali hiyo kuna usemi usemao kwa kumbwato na wanaume,genye,utamu na mataamanio ya wanawake hutibiwa na kudhibitiwa ,na furaha waipatayo kwa kutambua hilo ndio kuridhishwa kwao kingono.
Wataalamu wengine wanasema shahawa za mwanamke huendelea kutoka tangia mwanzo wa kungonoka mpaka mwisho wa tendo na kwa maana hiyo ni sahihi kwani kusingekuwa na uteute na majimaji wakati wa kugegedana.
Kwa hili pia kuna kipingamizi.Mwanzo wa kungonoka mwanamke huwa katika genye kiwango cha kati na wakati mwingine hawezi kuvumilia nguvu na mimboto anayotumia mwanaume lakini kadri muda wa tendo unavyoongezeka genye na utamu unaongezeka kiasi kwamba hajali chochote tena kuhusu mwili wake na baadae genye zikimwisha hapendi tena kuendelea kungonoka.
Kwa hili wengi watakuwa na swali.kama mwanaume na mwanamke wote wameumbwa sawa na wakingonoka wote wanapata furaha na hamu zao kwisha kwanini kila mmoja awe na kazi tofauti wakati wa ngono?
Wataalamu wanajibu kwamba kwa sababu namna ya kufanya ngono kwa mwanamke na mwanaume na kiwango cha utamu na hisia kwa mwanamke na mwanaume ni tofauti,tofauti pia ni jinsi ya shughuli yenyewe kwani wanaume ni wafanyaji na wanawake ni wafanywaji.Na kwa namna hii ya ufanywaji wa tendo ndio kuna kuwa na namana ya uridhishanaji toufauti kati ya mwanamke na mwanume ambao wako katika tendo moja,mwanume huwazamwanamke huyu ameunganika na mimi wakati wa tendo na mwanamke huwaza nimeunganika na mwanume huyu.
Nguvu na genye za wanawake zinatofautiana kwa kiwango cha hali ya juu,baadhi ni rahisi sana kuridhishwa na wengine ni vigumu ambapo huhitajika ufundi na kungonoka kwa muda mrefu ili kuwaridhisha.