Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,318 Reaction score 64,475 Sep 4, 2019 #21 Kwa sababu mi ni mlevi hata ke nitakayekuwa naye inabidi awe mlevi
manonawire JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 942 Reaction score 1,228 Sep 4, 2019 #22 Wa3 usimwache aishii
the say JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,774 Reaction score 3,369 Sep 4, 2019 #23 interlacustrineregion said: *Mwanamke limbukeni wa utandawazi asiyepitwa na kitu chochote. Wapenda HAKI SAWA wanaotaka 50% kwa 50% kimgawanyo lakini majukumu yote humtwisha Mwanaume katika ndoa(CHANGU NI CHANGU ILA CHAKE NI CHETU) Click to expand... Mkuu unamaanisha Mrs wangu au... Ha ha
interlacustrineregion said: *Mwanamke limbukeni wa utandawazi asiyepitwa na kitu chochote. Wapenda HAKI SAWA wanaotaka 50% kwa 50% kimgawanyo lakini majukumu yote humtwisha Mwanaume katika ndoa(CHANGU NI CHANGU ILA CHAKE NI CHETU) Click to expand... Mkuu unamaanisha Mrs wangu au... Ha ha