Aina tano za wanawake wa kuepukwa na wanaume;
1. Walevi
2. Wazinzi
3. Wachawi
4. Wagomvi
5. Wasio tii
Sababu:
Mwanaume anazaliwa na mwanamke,analelewa na mwanamke,anamuoa mwanamke,anaanzisha familia yake na mwanamke ivyo hakuna maisha ya mwanaume bila mwanamke.
Niongeze Sauti Au Inatosha?[emoji350][emoji344]
MWANAMKE MWIZI ANAFAA KUOA MKUU?Aina tano za wanawake wa kuepukwa na wanaume;
1. Walevi
2. Wazinzi
3. Wachawi
4. Wagomvi
5. Wasio tii
Sababu:
Mwanaume anazaliwa na mwanamke,analelewa na mwanamke,anamuoa mwanamke,anaanzisha familia yake na mwanamke ivyo hakuna maisha ya mwanaume bila mwanamke.
Niongeze Sauti Au Inatosha?[emoji350][emoji344]
Mimi Nina kadem kachawi knoma.Siku nilipogundua tabia zake nikataka nikaache, sijui kalijuaje? Maana kalinifanyia mauza uza ikabidi niwe mpole nikakaomba msamaha yakaisha. Kwa sasa kameniganda kama gundi,kashenzi sana
[emoji23]If yo not man eneogh basi epuka mwanamke kabisa.
nawapenda hawa, mda wowote ukiomba game unapata, na wala hutumi nauli2. Wazinzi
tushaskia mkuuAina tano za wanawake wa kuepukwa na wanaume;
1. Walevi
2. Wazinzi