Aina nzuri ya Pikipiki /bodaboda

mchumi boy

Member
Jun 4, 2016
70
31
Nahitaji aina nzuri ya Pikipiki kwa ajili ya kutembelea. Je ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora, life span yke na gharama nafuu, naomba kuwasilisha
 
Mkuu nami pia natafuta, ila nafikiria kuchukua boxer au honda. Ila Bado natafuta ushauri
 
Back
Top Bottom