Aina nyngine za whatsApps apk

Aina nyngine za whatsApps apk

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,130
Reaction score
6,360
wakuu naombeni msaada wa aina nyingine za whatsApp apk ukiachana hile ya playstore....,


Nitashukuru sana
 
Mnainstall ma apk yasiyoeleweka halafu mnakuja kulaamikiaa pop ups humu!
 
kama u.ataka kua na wasap mbil au aplication mbili mbili we nunua tu sim aina ya xiaomi basi Kuna sehemu ni kuweka tu on unapata aps zote downlodead mbili mbili xiaomi wanajua kaka
 
IMG_20171124_090432.jpg
IMG_20171124_090432.jpg
 
Ukitaka kujua version niliyonayo hebu nielekeze mkuu.

Halaf kwenye ku-update mbona huwa napoteza chats za zamani ati...?

Help please.

Settings> Help> App Info. Version.
 
Back
Top Bottom