Mkuu sijui nianzie wapi..., internet mawasilano kutoka point A to B yanapita njia nyingi satellite telephone lines etc. sasa kabla ya fibre optic yalikuwa internally yanapita kwenye njia za simu, lakini gateway.. from Africa to Europe/US ilikuwa ni through satellite. Sasa huu mkonga baada ya kuuweka it means kwamba kwanza badala ya kutumia waya za simu itatumia fibre optic (ambayo signal ni in terms of light which is faster) na kutoka gateway from africa itakuwa inapitia huu mkonga as well as satellite.mkuu kunakusoma na kuelimika umeiyona hiyo cable yenyewe then ilipo pita mtu akiamua kufanya hujuma itakula kwa nani jaribu kuwa great thinker kama kweli umeelimika au nawe ndiyo hao hao just look red words
Conquest-IFF THE FOOL WHER SLEEP DONT AWAKE THEM ALWAYS AWAKE THEN WHEN THE SUN HAS GONE😛izza:
Sina uhakika na part ya serikali kwenye hili kama ni that positive am sure wangekuwa wanafanya kazi inavyotakiwa mradi ungeshamalizika na kuuleta mkonga through atlantic sina uhakika kama waliplay any part..... lets give credit only when its due and not willy nillyNimekupata mkuu wangu wewe nadhani ni kati ya wale watu ambao hawana imani na kila kitu kinachofanywa na serikali, hayo ni mambo tekelinalokujia mnyonge mnyongeni haki yake........
NAJUA WATANZANIA WAJUAJI SANA ILA NOTHING NA WABISHI SIJUI TUMELISHWA NINI AU MWENGE UNAOPITA NDIYO UNATUPUMBAZA OK MIE SINA MENGI NAWAACHA NA AKILI HIYO HIYO ILIYOPO VICHWANI MWETU BALI AS TIME GOES ON UNANISOMA I HAVE FULL DOCMENT BUT I CAN RELEASE NA PESA ZENU FEKI HIZO ZIPO
cONQUEST-UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO:shock:
mkuu twende polepole tuelezane niambie ni wapi nimekosea..... As my Motto says...stolen from Socrates "AM THE WISEST MAN ALIVE, FOR I KNOW ONE THING, AND THAT IS I KNOW NOTHING"aLL IN aLL at the judgement day
Conquest-good die young so you wanna die Make followup on tz ishues:kev:
Polep pole ndiyo siitaki kabisa maana sie tunaambiwa kilimo kwanza wao wanavuna mapesa labda nikupe na hili then utakuwa na fikra hivi kwanini pesa zimebadilishwa wakati nchi ikiwa katika kipindi kigumu cha misukosuko ya hapa na pale je unajua why?basi zama deep utajua why na pesa zenyewe zina mashaka zinatoa rangi kama superdip:kev:
Conquest-u can be alive but like tambara la deki just kusafisha nyumba na kulala nje