Nimeipanda juzi hiyo...tar 4...kutunza sasa😔Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo.
1. ChapaTembo 719
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sifa za AMINIKA tafadhaliSio kweli mkuu kusini tunapanda AMINIKA
Elimu nzuri sana hii, ila ni vema kuelekezana mapungufu ya mbegu husika pia, binafsi Kwa uzoefu wangu mbegu tembo 719 ni mbegu nzuri sana Kwa ukanda wote wa kusini lakini inakumbwa na tatizo la kuoza juu, hii inafanya wakulima wengi kupendelea pan 691, pamoja na DK777Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo.
1. ChapaTembo 719
Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4 hadi miezi 4 na nusu kutegemea na ukanda.
- Inarefuka sana kwenda juu hivyo si vema kuibananisha. Panda kwa sm75x30 one seed per hole.
Usiipande jirani na miti mikubwa huwa inaathirika sana na kivuli.
- Panda mwanzoni mwa msimu kwani huchukua muda mrefu kukomaa km nilivyoeleza hapo awali.
- Uzuri wa hii mbegu km utaitunza vzr hubeba mahindi 2 makubwa na yenye punje nene.
- Punje zake ni nzito hivyo km utauza kwa kilo inalipa.
NB: Kwa sasa hii ndo mbegu inayopendwa sana na wakulima wa kanda ya kusini kwa mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya,Ruvuma,Rukwa na Katavi.Bei kwa kilo 2 inauzwa hadi 18,000,ikifuatiwa na DK 777 inayouzwa 15,000-16,000/=,na PANNAR 691.
Uchambuzi utaendelea kwa chapa tumbili 419 , 403na zinginezo.
Kilimo kinalipa km mkulima akiwa na taarifa sahihi.
Jisemee wewe.Sio kweli mkuu kusini tunapanda AMINIKA
Ni Kweli hii ni mbegu nzuri,msimu uliopita niliilima na nikapata mavuno mazuri,Mahindi yanakuwa na punje kubwa na nzito hivyo Uuzaji wake hausumbui,sema shida ni tillers ndo zunakuwa nyingi,Kuhusu kuoza sio sana.Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo.
1. ChapaTembo 719
Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4 hadi miezi 4 na nusu kutegemea na ukanda.
- Inarefuka sana kwenda juu hivyo si vema kuibananisha. Panda kwa sm75x30 one seed per hole.
Usiipande jirani na miti mikubwa huwa inaathirika sana na kivuli.
- Panda mwanzoni mwa msimu kwani huchukua muda mrefu kukomaa km nilivyoeleza hapo awali.
- Uzuri wa hii mbegu km utaitunza vzr hubeba mahindi 2 makubwa na yenye punje nene.
- Punje zake ni nzito hivyo km utauza kwa kilo inalipa.
NB: Kwa sasa hii ndo mbegu inayopendwa sana na wakulima wa kanda ya kusini kwa mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya,Ruvuma,Rukwa na Katavi.Bei kwa kilo 2 inauzwa hadi 18,000,ikifuatiwa na DK 777 inayouzwa 15,000-16,000/=,na PANNAR 691.
Uchambuzi utaendelea kwa chapa tumbili 419 , 403na zinginezo.
Kilimo kinalipa km mkulima akiwa na taarifa sahihi.
Wakuu vp kuhusu mbegu za zamseed, mwenye ushuhuda wowote tafadhariNi Kweli hii ni mbegu nzuri,msimu uliopita niliilima na nikapata mavuno mazuri,Mahindi yanakuwa na punje kubwa na nzito hivyo Uuzaji wake hausumbui,sema shida ni tillers ndo zunakuwa nyingi,Kuhusu kuoza sio sana.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Yeah katupa elimu nzuri.
Hiyo mbegu iko underated lakini ni bonge moja la mbegu,, ni nzuri mnooSio kweli mkuu kusini tunapanda AMINIKA
Naweza kupata Pannar 6949Nimeupenda uzi.
Mkihitaji mbegu ninazo maboss.
Nauza pembejeo za kilimo jumla na rejareja.
Napatikana Morogoro mjini.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app