Aina mpya ya utapeli

Note: kwenye maisha ukishaona mtu humjui wala hamfamiani anaanza habari za kukupa mchongo jua wewe ndo mchongo mwenyewe.
 
Huyo jamaa yako tamaa ndio imemponza alitakiwa awe na msimamo kwamba hatumii dawa yoyote hivyo asingekubali kuchukua chochote na kwenda kukifanyia kazi sijui kujaribu lakini alivyokubali tu ikawa biashara imeisha.
Angefanikiwa isingeitwa tamaa bali mngesema mafanikio yana siri kubwa.
Leo hii wengi uona nyuma ya utajiri wa matajiri wengi kuna ushirikna au dhuruma.
 
Kuna watu wanajikuta wajanja
wanasema hawawezi kutapeliwa
Jamiiforums kila mtu mjanja kila mtu ana uwezo na kila mtu ana elimu, ajabu humu humu kuna watu wanatapeliana.
 
Dah matapeli sio watu poa asee walinifanya aiku moja nijipige makofi ya uso hadi nikavimba, kiufupi hawa jamaa ukitaka uwaweze dhibiti tamaa ya vitu vya bei juu kwa bei rahisi na tamaa ya pesa nyingi za haraka.
 
Ukiona mtu ametapeliwa basi ujue 100% ni tamaa
Ina maana kwenye biashara hakuna kutapeliana kwa aina yeyote ispokuwa chanzo ni tamaa kwamba usipokuwa na tamaa wewe upo salama kutotapeliwa?
 
iko hivi ukisika mganga anataka million jua uyo mwizi mganga wa kweli bei zao ni km mafundi saa 2000 au 5000 basi
 
Nimesoma mistari miwili tu, yaani mtu humjui anakufuata muongee kitu cha siri nawewe unaenda? Huu ni utapeli wa zamani sana mkuu
Unazungumziaje na wale wateja waliyokuwa wanakuja maana hapo ndipo alipoaminishwa?
 
huyo naye mshamba kama washamba wengine.

Kama mtu ana huo ujanja kwanini asifungue biashara yake apige pesa hadi akuletee wewe. Hujiulizi ni kwa huruma gani.

Lakini huo utapeli niliusikia kwa mara ya kwanza mwaka 1984. Ulifanywa kwa mafanikio kiasi cha mwenye duka kupata kichaa.

So hakuna jipya chini ya jua.
 
Huyu jamaa atakuwa alikuwa na biashara ndogo kiasi kwamba jamaa walimmudu kununua na kuongeza mauzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…