Aina mpya ya utapeli

Imebidi nicheke hapo eti 'wanunua kwa vurugu hawakutokea tena... ha haa.
 
Ila kiukweli, mi ukishanitajia mzizi tu, sitauchukua kamwe, maana nitahisi ni nusu kaputi unataka nikazime mbele ya safari..
 
Mtoa mada hujatutajia mkoa aliotaperiwa
Kama ni Dar mwambie amekaribishwa Bongo
 
Mwanza huku upo ule mtu anaongea na ww tu...ukimjibu ni makosa...utamtajia password za bank na vile vile unaweza mpa mtaji wako wote...akishaondka ndo unajihisi kama ulikuwa unaota kumbe ushaibiwa
 
Kile kitendo cha kufuatwa na huyo jamaa na anataka mazungumzo na wewe wakati huna mawasiliano nae, Ni lazima angegundua utapeli, Lakini kwa vile watu wanataka hela za haraka haraka bila kuzifanyia kazi wacha waendelee kulizwa.
 
 
Ile siku napigwa simu na pesa sitosahau
 
Nimesoma mistari miwili tu, yaani mtu humjui anakufuata muongee kitu cha siri nawewe unaenda? Huu ni utapeli wa zamani sana mkuu
 
Matapeli hawa ndo wazuri, unachukua mzizi wao na unamwaga maji dukani kwako ili uwaaminishe.. wiki nzima wanakuja kukuungisha weee then baadaye unawaambia hauna hela kwasasa.. we ndo unawapiga
 
Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa MATAPELI WANATUMIA AKILI VIWANGO VYA DA-VINCI, EINSTEIN, NEWTON

Inabidi uwe makini muda wote
 
Asante sana kwa kutoka taarifa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…