Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Leo nilikua sijiskii fresh so sikutoka home, jioni hii nimetoka kunyoosha miguu nikaamua kumtembelea best yangu ambae tunaishi jirani, we!kufika nikakuta anachoma vitu nguo, picha navinginevyo, na the way niliona vile vitu ni vya kikekike nikamuuliza sababu ya kuvichoma moto akanipa sababu ambayo imenisukuma kushare na wana MMU, kwamba wamekosana na mpz wake so hataki kuona hata kumbukumbu ya kitu chake chochote ndani ya nyumba yake kinachomhusu huyo mdada,
na huyu ni kama mtu wa tatu namwona akifanya jambo hilo kwani nilishashuhudia jamaa akichoma gari, hivi huu ni wivu wa aina gani?na bado nikajiuliza it means hawatakutana tena au kusalimiana as far wanafanya kazi kampuni moja,JE?
Mmmhhmmm kazi Kweli Kweli. Ki upande wangu kama wameachana kabisa si tatizo kwa wanaotaka kumove on complete. But ni uungwana kumpa mwenye vitu vyake a chance ya kuvichukua , akivikataa then you deal with those stuffs. Wengi wao tunaamini kuanza upya kimaisha or ukurasa mpya Wa mahusiano ni vizuri to forget everything about your ex , how will they do? Moja wapo ni hiyo , dear . Hebu tuwasikilize wengine please. Thanks!
Hahahahaaaa, but still sio solution coz hujui leo na kesho mtakutana wapi, na pia huwa naamini ukifanya hivyo bado huwa unampenda x wako kwa kutuliza machungu wanafanya hivyo.
Haha nna was was n ww mkuu ...mtoa mada
wewe unashangaa kuchomeana vitu ??
wengine wanachomana wenyewe
Ya nini kuziacha ndani. Si zitakuingizia stress bure
Ni kweliiii Asante!
Leo nilikua sijiskii fresh so sikutoka home, jioni hii nimetoka kunyoosha miguu nikaamua kumtembelea best yangu ambae tunaishi jirani, we!kufika nikakuta anachoma vitu nguo, picha navinginevyo, na the way niliona vile vitu ni vya kikekike nikamuuliza sababu ya kuvichoma moto akanipa sababu ambayo imenisukuma kushare na wana MMU, kwamba wamekosana na mpz wake so hataki kuona hata kumbukumbu ya kitu chake chochote ndani ya nyumba yake kinachomhusu huyo mdada,
na huyu ni kama mtu wa tatu namwona akifanya jambo hilo kwani nilishashuhudia jamaa akichoma gari, hivi huu ni wivu wa aina gani?na bado nikajiuliza it means hawatakutana tena au kusalimiana as far wanafanya kazi kampuni moja,JE?
....But ni uungwana kumpa mwenye vitu vyake a chance ya kuvichukua , akivikataa then you deal with those stuffs.
kutunga nako ni kipaji, acha kabsa uongo!
Inabidi amtafute na huyo mupenzi amtie kiberiti maana ipo siku atakutana nae na kumbukumbu zitarejea
Hahahahaaaa , ni kweli si unaona shigongo anamake living kwa kutunga, kama mawazo yako yako sahihi.