Aina hii ya wachezaji na vyakula wanavyokula kabla ya mechi tutasubiri sana

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Huyu ni humid mao mkami akila tu chipsi tukavu na tusoseji tuwili na nyanya kbla ya mechi hapo halafu aende akapambane na wachezaji wa esparance walioshiba nyama na maziwa na ngamia ..HAHAAH BADO SANA WACHEZAJI WETU WA KIBONGO KUJITAMBUA.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-04-21-08-12-36.png
    Screenshot_2016-04-21-08-12-36.png
    132 KB · Views: 61
Kwa hyo unataka ale chakuka gani?maubwabwa atavimbiwa bana na maugali atasinzia uwanjani acha avichape viepe vikavu tuu chakula cha wanachuo....
 
Back
Top Bottom