Remmy Emmily
Member
- Jun 7, 2025
- 6
- 3
Je, ni aina gani ya marketing ni rahisi zaidi kufanyika na kupenya sokoni hasa kwa bidhaa za vinywaji?
Naomba uzoefu wako kama mtaalam wa masoko na mauzo.
- Door to door
- Social media marketing
- Influencers marketing