More problems
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 432
- 257
Guess wat....So what?????
Ni wetu soteMungu wangu
Kabla kuanza mahusiano angalia anayekufaa
We hauhusiki!?Aiseeeh.....Ngoja wahusika waje wanaojua hizo aina
Jino kwa jino5.Wanawake wanaolipa kisasi akikubamba umechepuka tuu na yeye anakulipizia
Nilikuwanae dizaini iyo,,nilimgonga Rafiki yake,,akaniambia na yeye lazima ampe nyama Rafiki yangu yoyote,,,sa sijui alimpa swahiba wangu yupi nyama5.Wanawake wanaolipa kisasi akikubamba umechepuka tuu na yeye anakulipizia
Basi hizo hazitoshi ongeza na zingine......maana hata yangu hapo haipo😛😛Guess wat....
Nilitaka tu ufahamu
Daa mtu wa namna hii ukioa hasaraNilikuwanae dizaini iyo,,nilimgonga Rafiki yake,,akaniambia na yeye lazima ampe nyama Rafiki yangu yoyote,,,sa sijui alimpa swahiba wangu yupi nyama