Aina 10 za wanawake

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,566
Reaction score
3,234
Aina 10 ya wanawake duniani

1.Mke sherehe(party wife) hawa muda wote wanawaza shereh na starehe utawasikia kesho sendoff mara kichen party wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajiri kuchangia sherehe.

2. Mke kamsi(dictionary wife) hawa ni aina ya wanawake ambao huamini mawazo yao tu huwa hawwapendi kushauriwa na wabishi sana huwa hawajali hata mme wake anasema nini

3. Mke pampas(pampas wife) hawa ni wavivu sana na wamearibiwa na familia zao hasa familia tajiri hawawezi fanya kaz wanatuma ovyo hata wame wao utasikia baby nipe hicho baby njoo unitolee hiki kama kuna housgirl au boy ni zaid ya punda kwao

4. Mke ofisi*The office wife) hawa husaau kabisa majukum yao kwa kisingizio ya kazi wanajifanya bizy muda wote kuwa bizy na majukum ya kiofis kulko haata familia hasa mme mara nyingi hawa wanaibiwaga wame zao na mahousgirls.

5. Mke mgonjwa(Sick wife)hawa muda wote wachovu na wanyonge utasikia akilalamika kuumwa huku hawaendi hospital na wanalawama kama nini usiombe ukutane naye utajuta.

6. Mke mwalimu mkuu(Headmistrss) Hawa ugeuka vilanja ndan ya familia hata mbele ya mme anajifanya muelekezi tu na huuliza maswali kwanini hii hiv mara hicho hivyo paspo kujali kuna nani hata kama kuna mgeni.

7. Mke ngumi(Fighting wife) hawa muda wote ni wavarangat na akiamua kulianzisha huwa hawaangaliii mazingira na ataongea bila mipaka na kama unaishi uswazi kila jilan lazma atajua kimenuka yuko ladh kukunjana na mme wake.

8. Mke Ndoo ya taka(Dustbin wife) hawa huwa wachafu kupita kias hawajal hiki cha thamani au vip utamkuta mchafu muda wote ni mara chache kutokelezea labda kwenye shereh mara nyingi wame zao wanawakinai mapema.

9. Mke mlinzi*(protective wif) hawa huwabana wamme zao mpaka kero hujifanya wanawiv ,wanawaona wanawwke wote kama maadui na hawataki hata kuona rafiki yake akiwa karb na mme wake anaisi anaibiwa ukirud nyumban badala ya kupokea mzigo mkononi anakupokea cm ilioko mfukoni .

10. Mke mzuri(Agood wife) Hawa ndo wale walioandikwa kwenye zaburi na vitabu vingine vya dini, hawa ni wapole wanyenyekevu wasikivu hata kama amekosewa anatumia busala kulitatua tatizo hawa si wengi sana katka dunia ya leo.

Mungu wabariki wanawake wote walioko namba 10 kama hawajaolewa wapate wame bora kama wao na m unibariki nimpate mke katka namba hii.

Wako namba ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…