Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,895
- 2,795
Mkuu 'johnthebabtist', hata kama tabia na mazoea ni ya kiutani utani, lakini inapofikia kwenye maswala ya namna hii, hata hustuki kabisa?Hatari sana
Nilidhani haya mambo Yako Ufipa st tu
Unaelewa maana ya Hatari sana bwasheeMkuu 'johnthebabtist', hata kama tabia na mazoea ni ya kiutani utani, lakini inapofikia kwenye maswala ya namna hii, hata hustuki kabisa?
Wewe ni mtu wa namna gani hasa!
Leo upo kwenye ubora wako.Unaelewa maana ya Hatari sana bwashee
Unajua hao Makamanda wenu wakihamiaga CCM huwa wanaielezea vibaya sana Chadema na wanaamini CCM kuna afadhali
Ndio sababu nasema ni Hatari sana!
Mungu wa mbinguni akubariki sana bwasheeLeo upo kwenye ubora wako.
Na kweli ni tabia yako na wala siyo utani au tokeo la mara moja moja!
Ni ugonjwa, kama ule wa kifafa, ambao ukimkuta mhusika hali ni nzuri utadhani hana matatizo yoyote, hadi hapo hali yake itakapomwingia ndipo utakapoona inavyomsumbua.
Basi, sina la zaidi nawe tena.
Hawa ndio wanaomshambuli Dr Bashiru?Tazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm.
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika.
Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.View attachment 2421145
Tumegeane basi mkuu unakula pekee yako[emoji38][emoji38][emoji38]
Aibu sanaTazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm.
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika.
Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.View attachment 2421145
Hao takukuru,wataanzia wapi?viongozi wao wote ni ccm,jeshi ni ccm,utumishi wa umma ni ccm,wengine wanakuwa ccm Ili kupata ulaji wao,sasa hv hata mikopo ya Elimu ya juu,wanaangalia kama ni mtoto wa kada wa ccm.Tazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm.
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika.
Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.View attachment 2421145