geophysics
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 904
- 166
Wana udom mnajiaibisha. Mnataka msome kama mpo oxford university au?
Kwani makwenu maji huwa hayakatiki? Umeme je? Acheni hizo. Huna vyombo vya kuhifadhia maji, we na kindoo chako kimoja tu yakikatika unapga kelele.
Mnajifanya kushangaa kwani mlipokuwa boarding xuls haya mambo hayakuwepo?
Acheni mashauzi kutaka mlelewe kama mayai.
wameenda kusoma au kusomba maji? basi kila mtu anunue SIMTANK lakuhifadhia maji!
Tatizo lenu UDOM mnaendekeza siasa sana....Matawi ya CCM ohh...ubunge CCM nk...au kwakuwa mpo karibu na Chimwaga na kambi za chama cha mafisadi.... Ondoeni hizo itikadi muwe kama UDSM utaona kama hizi aibu za maji, vyoo vichafu na umeme kukatika ovyo vitaendelea kuwepo... Msikubali k
MIMI SIWAONEI HURUMA HATA KIDOGO KWA KUWA SIKU ZOTE MMEKUWA MSTARI WA MBELE KUIFAGILIA CCM NA JK KANA KWAMBA WANAFANYA KAZI NZURI WAKATI HALI HALISI NI TOFAUTI.
UDOM SASA HIVI BAADHI YETU TUNAKIITA NI CHUO CHA KATA AU YEBO YEBO.MNATOA PRODUCT MBOVU AMBAZO KAZI YAKE NI KUJIKOMBA KWA WATAWALA.
ANYWAY ENDELEENI KUFAIDI MATUNDA YA CCM KWANI HAMHITAJI MABADILIKO KAMA WENZENU WA UDSM,MUHAS,SUA,KCMC,BUCHS NK.
sikutegemea chuo kipya na kinachojijengea umaarufu kama hiki kikose maji. Hebu tazama, mtu unaenda ****** unakutana na kinyesi cha jana! Mtu kaenda na kikopo cha maji lita moja na baada ya kujisafisha yeye anaondoka.ndiyo, atawezaje ku-flash uchafu kwa maji mengi wakati .......