Sasa kama siyo ww Iv pilipili ya shamba inakuwashia nnSiyo mimi, japo nimepita hapo na kuona hilo, siyo jambo jema wanalofanya
Miezi mitatu tu mnalia lia watu huku ni majobless since decades ago 😂😂Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.
Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.
UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Madogo walizoea kula boom sasa wanaonashida hawapati hela za kula bata na kuongaMiezi mitatu tu mnalia lia watu huku ni majobless since decades ago 😂😂
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.
Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.
UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Msemaji wao anaandaa press ya kukanusha.Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.
Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.
UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Bora jobless unajua huna wa kumdai, ukiwa kazini halafu haulipwi tena na taasisi kama UD hiyo ni aibu ya mwaka, sio sahihi.Miezi mitatu tu mnalia lia watu huku ni majobless since decades ago 😂😂
Waambiie waje kitaa waone kulivyo kugumu. Watapalilia udsmKatika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.
Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.
UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Jf kuna wajinga sana humu,nashangaa wanatetea huo ujinga wa udsm kutokuwalipa hao vijanaMtoto wa mwenzio ni wa kwako pia. Nchi ya kijamaa hii
Na hapo unatakiwa uwe smart uonekane kilecture lecture,afu hupew hela,makadeti yanaanza kupaukaBora jobless unajua huna wa kumdai, ukiwa kazini halafu haulipwi tena na taasisi kama UD hiyo ni aibu ya mwaka, sio sahihi.
Tatizo hamna mkataba hata wao wanaumiza kichwa mtalipwaje...vumilieni vibali vya kuajiri vikitoka mtakula shavu, maana ni scholarship after scholarship leo ulaya mwakani America halafu haya mnasahau mnaamza kututafunia vitoto vyetu vinavyotegemea boom.Bora jobless unajua huna wa kumdai, ukiwa kazini halafu haulipwi tena na taasisi kama UD hiyo ni aibu ya mwaka, sio sahihi.
Polee sana kijana kwa changamoto unayopitia but miez 3 michache sana kuanza kulalamika kina wenzako wanajitolea uko ata mwaka hawapat chochoteKatika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.
Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.
UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Au kama anajiamin na GPA yake ya 4.8 aende akapambane kitaa si ata mkataba hajapewa😂😂Kwanini usiseme ni wewe useme madogo mkuu be free funguka usaidiwe
Kingine kwanini usiwaulizw waliokubakiza hapo uendelee na kazi za chuo wana lengo gani na je kuhusu malipo yapoje?