Aibu taarifa ya habari tbc

Access Denied

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
655
Reaction score
211
Taarifa za biashara zimechanganywa na za wiki iliyopita, picha hazina ubora hata kidogo yaana ni aibu kubwa alaf ndo wameipeleka hadi dstv hii chanel.
 
Nina wiki mbili sijatazama Tbc 1, Dk Mkumbo alisema ITV ndio Tv ya Taifa, na hakukosea.
Haiishii TBC 1 tu, kuna wakati kipindi cha michezo cha redio TBC kilikuwa bora, tangu CCM wamtimue Tido, kila kitu kimedorora, naona hata wafanyakazi wamekufa moyo, Charles Msami namsikia BBC siku hizi, Joe Kihampa na Pendaeli Omari sijui wameishia wapi.
 
kwani kuna TBC nyingine? Nnayoijua mimi haina maajabu mapya.
 
Star times wamewaingiza watu mkenge. Yani tbc inaonwa na takribani 95% ya watanzania. Mabadiliko kamwe hayatatokea tz.
 
Reginald Mengi aliwaambia hilo siku wanaanza kurusha matangazo,haina tofauti na simu ya mchina
 
Taarifa ya habari wameanza saa 0805 halafu ndani ya dakika kumi tayari wameshamaliza yaani hii TV sijui kwa nini isipigwe na radi tukajua moja kwamba hatuna televisheni ya taifa.Wanachezea kodi zetu hasa huyo ***** msahana ndo amekuja kuiua kabisa
 
TBC zote hazipo, na sijajua bado mwajiri wa kuanzia maEngineer na wapanga vipindi vyote.
Iweje Radio one isikike, ZBC ndiyo ninayosikiliza magazeti asubuhi.
Tbc imelala na kwa sababu viongozi wake mradi wanaingia ofisini na kupata mshahara baasi!! Kbc, radio mozambiki na zingine zinasikika isipokuwa TBC.
SISI TUKAAO VIJIJINI TUNATAKA TBC RADIO.
 
mh jamani ni kweli lakini labda sio wao ni mambo nyuma ya pazia hao wafanyakazi ila ni kweli mi mwenyewe nimemwonea huruma msomaji duuu aibu sana sana
 
kufanya kazi na wachina ni balaa tupu.Taifa linaloongoza dunia nzima kwa KUFOJI ni wachina. Cha ajabu china na TIBIccm wanashirikiana sijui kwa faida gani kwa Tanzania . FORGERY has become our culture in Tanzania after started friendship with them!!
 
Hivi tbc bado ipo??
Sijatazama iyo kitu kitambo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Duh!mkuu bado unaendelea kuangalia TBC?Mbona umbishi sana kwani tulisha sema sana kuhusiana na udhaifu wa TBC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…