KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,052
Basi sawa.........Usijali ndugu zimefika na nimekusamehe mtanzania mwenzangu mpenda maendeleo kama mimi.....tujitahidi kukemea mambo yanayorudisha nyuma maendeleo, kama suala hilo la stendi ya msamvu.
Ameeni....Amani itawale ....!Basi sawa.........
kila kitu muwekezaji tu,nenda wew ukajiwekeze
Mchangiaji, tuombe msamaha.......