Aibu kwao

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Hebu fukiria kwa makini,leo hii tukiisha uchaguzi mkuu je ni wabunge wapi watakaochaguliwa majimboni.

Tuweke ushabiki pembeni
 
Tukiitisha na sio tuiisha sasa hv hakuna uchaguz mpaka 2015 ndo ulete uzi hapa
 
Elewa tukiitisha ina maana ni uchaguzi ambao haujategemewa bado ila kwa mwaka 2012 ni kwamba uchaguzi ujao ................
 
Tukiitisha na sio tuiisha sasa hv hakuna uchaguz mpaka 2015 ndo ulete uzi hapa

Chaguzi mbona zinatokea majimboni!Mfano Igunga,Arumeru na nadhani Arusha mjin soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…