nashangaa kwanini hajafungiwa mpaka wa leo.
Kwanza huwa anaandika pumba sana, thread yake imezidi sana mistari miwili. Halafu utumbo mtupu.
Yote tisa, kuna mitusi ameiporomosha kule jukwaa la maselebriti mpaka si vizuri.
Nimejitahidi kumripoti lakini mhm?