Aianika timu yake

Alikuwa anafanya research ........

Naona mpaka daktari yupo ndani safi sana
 
nimekumbuka ule usemi "maisha ni safari" na hapohapo nimekumbuka ule wimbo wa "safari sio kifo"
 
Watu wamemaliza ashq zote humo!
 
mbona mimi hajaniweka? nahisi atakuwa kanisahau au pengine kaamua kutulia na mimi tuanze maisha rasmi
 
Hivi mnajua kuna watu wakiamua wafanye hivyo kama huyo, tutahitaji microscope kuzoom picha kwa jinsi itakavyobanana.

I hope hata yeye picha za wengine hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…