Ai Type keyboard wakithamini kiswahili

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
Kati ya mambo yalikuwa yananiboa kwenye hizi keyboard za simu ilikuwa ni auto word corection na word prediction. Maana kimsingi me natumia sana kiswahili kuliko lugha ingine, so ilikuwa inaniletea muda mwingine naandika kitu kingiiine na sometime ata unaweza kutukana.

Lakin kwa ai type keyboard kuongeza kiswahili kama moja ya lugha amabzo ztakuwa zinatumika kweny keybord yao nimefurahi sana,hii maana yake ukiandika neno la kiswahili wakati unatype italeta la kiswahili na ww uta click tu nakuendelea. Kwaio apa yatapngua yale mattzo ya typing error ambazo kimsingi zilisababishwa na word prediction au autocorrection.

hawana lolote wanatumia tu translator niliwahi kuitumia hakuna jipya.

hivi unafkiri kuna mzungu atakuja tanzania akutengenezee keyboard ya kiswahili?

bila kujipinda wenyewe na kutengeneza ya kwetu tutakaa hivi hivi
 
Ni kweli mkuu wangu lakini atleast ata uyu kakiweka ata kwa daganya toto maana sie atujielewi kwakila kitu. so me nawapa hongera japo bora kitu, si sawa na akuna kitu.
 
Ni kweli mkuu wangu lakini atleast ata uyu kakiweka ata kwa daganya toto maana sie atujielewi kwakila kitu. so me nawapa hongera japo bora kitu, si sawa na akuna kitu.
Hata ikitokea mtu akatengeneza keyboard app ya kiswahili atakuwa kasumbuka bure tu, siku hizi watu hawajui kuandika kiswahili ila wanaandika lugha inayofanania na kiswahili, mfano wewe mwenyewe angalia hizo sehemu zenye rangi ya bluu na nyekundu, labda atengeneze kwa ajili ya kuwafundisha watu kuandika kiswahili fasaha vinginevyo tulidhike na hizi keyboard za wenzetu
Cc: chief-mkwawa
 
kaka unajua moja ya feature za keyboard kama hizi ni autocorrection mfano mtu kaandika mashahili basi keyboard itamsahihisha iandike mashairi, ukiandike nasubili inasahihisha yaandika nasubiri.

cha muhimu ni mtu/watu wajitokeze watengeneze hiko kitu then developer watakaotaka kutumia watatoa hela kueka kwenye app zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…