AFRIKAN GUY
Senior Member
- Jun 26, 2015
- 104
- 112
Ndo unatumia hizo hadithi na masimulizi ya zamani kuthibitisha ujinga na mawazo yako binafsi.Hizo hadithi za vitabu vya Dini wengi tunavichukulia kama za uwongo kwa sababu ni zakufikirika. lakini jua kwamba kunatofauti kati ya uwongo na kufikirika. Hadithi hizo ni za kufikirika lakini Sio za uwongo.
Hadithi hizi ni ukweli wenyewe WA maisha ya mtu. zimebeba ukweli mkubwa kuhusu maisha ya mtu.
Mfano Hali ya Adam na Eva kukubaliana kula tunda ili wawe zaidi ya mipaka ya utu wao.
Pia: hali ya Kaini na uzao wake kua Na Obsessed na teknolojia, kama matokeo ya kushindwa kufanya necessary sacrifices kwaajili ya Kuulinda Utu wao.
Technologia Ndio mwisho wetu, taratibu tunavyo kua na technologia kubwa Ndio mwisho wetu kama watu. Kizazi cha kaini kinajiua chenyewe Kwa kua obsessed na technologia.
Ai technolojia mpya Inafanya kazi za Mtu, Sasa mtu atafanya nini? mtu akikosa cha kufanya si ndio mwisho wake?
Kazi kubwa ya AI ni kuweka kwa usahihi mawazo yaliyoandaliwa/tolewa na binadamu.Hizo hadithi za vitabu vya Dini wengi tunavichukulia kama za uwongo kwa sababu ni zakufikirika. lakini jua kwamba kunatofauti kati ya uwongo na kufikirika. Hadithi hizo ni za kufikirika lakini Sio za uwongo.
Hadithi hizi ni ukweli wenyewe WA maisha ya mtu. zimebeba ukweli mkubwa kuhusu maisha ya mtu.
Mfano Hali ya Adam na Eva kukubaliana kula tunda ili wawe zaidi ya mipaka ya utu wao.
Pia: hali ya Kaini na uzao wake kua Na Obsessed na teknolojia, kama matokeo ya kushindwa kufanya necessary sacrifices kwaajili ya Kuulinda Utu wao.
Technologia Ndio mwisho wetu, taratibu tunavyo kua na technologia kubwa Ndio mwisho wetu kama watu. Kizazi cha kaini kinajiua chenyewe Kwa kua obsessed na technologia.
Ai technolojia mpya Inafanya kazi za Mtu, Sasa mtu atafanya nini? mtu akikosa cha kufanya si ndio mwisho wake?
Anachekesha sijui hiyo AI itamlimia shamba na kuchakata mbususuUnakosaje cha kufanya? Elezea vizuri mkuu. Dunia ina mambo mengi mno, sioni ni namna gani binadamu atakosa cha kufanya.
Ni kweli. Ila itakuaje pale AI inapoongoza mashine kufanya kazi za shamba kwa ufanisi. Waliokua wameajiriwa watafanya nini?! Yani AI inaburuta hekari 1000 kwa siku chache tu, kazi ambazo zilifanya na binaadamu kwa mikono!? Kuna shida itatokea tu.Hizi AI ni tools tu, kamwe hazitaweza kushindana na akili za mwanadamu, mwanadamu ana haiba, ana utashi, hatakosa cha kufanya
AI italima, itavuna, mitambo itachakata. Kweli labla tuigize pono tu. Na siku hizi yanatumia sana dildo, AI hiyo. Kuwa makini.Anachekesha sijui hiyo AI itamlimia shamba na kuchakata mbususu
Mimi AI naitumia kusomea tuAI italima, itavuna, mitambo itachakata. Kweli labla tuigize pono tu. Na siku hizi yanatumia sana dildo, AI hiyo. Kuwa makini.
Unakosaje cha kufanya? Elezea vizuri mkuu. Dunia ina mambo mengi mno, sioni ni namna gani binadamu atakosa cha kufanya.
funny boyNdo unatumia hizo hadithi na masimulizi ya zamani kuthibitisha ujinga na mawazo yako binafsi.
Ila makaffir bana
Ndio tunapoelekea, taratibu. Ai na tech kwa ujumla itatufikisha hapo.Unakosaje cha kufanya? Elezea vizuri mkuu. Dunia ina mambo mengi mno, sioni ni namna gani binadamu atakosa cha kufanya.
Futur yake ni maridhawa. Itaanza kufanya kazi yenyewe bila kuambiwa Tena, kwasababu tutakua tayari tumesha iambia vyakutoshaUkitaka uaibike uache AI ikuongoze. Inafanya kazi kwa kuongozwa na Binadamu.