Napenda kichukua fursa hii kushukuru mtandao huu wa Jamii forums, updates zenu zimenipatia ajira. Napenda kuwashauri wote ku like kurasa hizi muhimu kwa wanao tafuta maisha. Nawatakia kazi njema na usiku mwema.
Nafasi ya Mungu ipo, kwakuwa ndiye aliyenipa uhai, na ndiye aliyenipa ajira. Nilitaka kuwajulisha tu sehemu ambazo ajira mpya hupatikana, ila inabidi muwe na moyo maana nilituma cv mpaka basi lakini wakati ulipo fika mambo yametiki. Ahsante Mungu, Ahsante http://jamiiforums.com, Ahsante https://www.facebook.com/kijiwechawasomi Ahsanteni wote, nawatakia siku njema.