Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Ukitumia whatsapp+ ukirud kwa whatsap ya kawaida unafungiwa kutumia whatsapp kwa masaa 48
Hii nzur..itasaidia kuongeza privacy...mana kuna wengn akiomb cm yako cha kwanz ni kufungua whatsapp..Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k!
Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs kuona kabisa pia inamwonekano mzuri balaa
Kwa wale ambao hamjawahi itumia na wale ambao hamjaupdate fanyeni hima uifurahi whatsapp+
Mkuu wala ucogope..mm nna zaid ya mika 3 sas natumia whatsapp na cjawah lipia...kila mda unapoisha hua napat hii notification "Extended" kutok whatsapp..then nkichck mda uliobak nakuta 1 yr.Mimi ya kwangu inapumulia mashine zimebaki siku chache ifungwe hadi nitakapolipia. Hapo ndipo nitakapokimbilia hiyo whatsapp+. Habari njema hii.
Yah...whatsapp+ inamake call kama kawaid.inamake call ?
Hapan mkuu...Mkuu hii nilazima uwe na tablets ?
Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k!
Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs kuona kabisa pia inamwonekano mzuri balaa
Kwa wale ambao hamjawahi itumia na wale ambao hamjaupdate fanyeni hima uifurahi whatsapp+
Mkuu hii nilazima uwe na tablets ?
Asante kwa taarifa kiongozi
mkuu naitumia hii ngoja niiupdate