Ahsante mama "Lakini"

Ahsante mama "Lakini"

trisha cute

Senior Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
194
Reaction score
608
Mama enzi zako hakukua na insta, facebook, whatsapp, badoo, tagged , tinder sikuhizi watu wanatongozana mitandaoni wanaitana mume mke kabla hata ya kuonana wanaombana nauli/ hela wakinyimana wanablokiana mambo yamekua rahisi mpaka ndoa zimekua za kawaida

Halafu pia vijana wa sasa akikutokea ukamwambia nipe muda, ni bora ujibu hapohapo kuwa unamtaka au humtaki maana ukimwambia swala la kukupa muda anaona umemdharau, ukija kumkubalia anakumega halafu unatemwa.

#Ahsante kwa experience yako mama lakini kwa sasa formula hazifanani
 
Pole sana, kweli formula zimebadilika sana japo π(pie) inabaki kuwa constant.
 
Aiseeeeeeeh.......ahsante mama,Kuna binadamu alitongoza dada yake mtandaoni bila kujua
 
Mama enzi zako hakukua na insta, facebook, whatsapp, badoo, tagged , tinder sikuhizi watu wanatongozana mitandaoni wanaitana mume mke kabla hata ya kuonana wanaombana nauli/ hela wakinyimana wanablokiana mambo yamekua rahisi mpaka ndoa zimekua za kawaida

Halafu pia vijana wa sasa akikutokea ukamwambia nipe muda, ni bora ujibu hapohapo kuwa unamtaka au humtaki maana ukimwambia swala la kukupa muda anaona umemdharau, ukija kumkubalia anakumega halafu unatemwa.

#Ahsante kwa experience yako mama lakini kwa sasa formula hazifanani
Wahuni wa Ccm sio watu ni mashetwani
 
Ahsante kushukuru Mwanangu.
Unafikiri hata baba zako walikuwa tofauti sana na hao wakwe zangu?

Hata ukimuuliza bibi yako kuhusu babu yako atakupa jibu alilonipa mimi na alilopewa na bibi yangu ambalo ndilo na wewe utampa binti yako akikuuliza kuhusu atakayekuwa mkweo.
 
Daah inamaana amekumega akasepa🤔🤔??
Aisee ukute ulimpa hadi zile "style " ulizokuwa umezitunza hadi kwamba utazitumia siku ukifunga ndoa!😂😂(kaa dirishani, ufanye kama unaidondokea)
 
Tatizo chura ipo

Isije ikawa mnalaumu bure tu

Niliuza kanzu ya baba ela nikamuonga salama alikuwa na bonge la chura niliemuzia kanzu alikutana nae kwenye kijiwe chao cha kahawa
 
Back
Top Bottom