Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

una undugu na maji marefu?
 
Last edited by a moderator:
Asprin ukimaliza kukagua wote hao lazima ujikute una maadui kuliko marafiki aisee.
Lol nafikir kama kingekuwa chaki yaani best cha kako kingebaki kile tunachokitupaga kwamba hakishikiki kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe! Asprin uko juu zaidi ya Obama, ahsante sana malenga wetu wa jf! Niko hapa NMB nachukua mshahara, nakuja hapo kaunta ya juu kuclear bills zote!
 
Last edited by a moderator:
weye mbona mmbea sana lakini? nafikiri nikuandalie msuto ama kitchen party gala
Kungwi aka mwalimu aka daktari wa ODM nakusalimu kwa amani ya bwana!

Achana na Kongosho manake umbea ndio kazi yake, siku akiacha anarudi kijijini...

Ukinionea Erotica aka my lovely mke mwenza umpe salamu zangu! Mwaaaaaah to you lovely kungwi!
 
Last edited by a moderator:
Kungwi aka mwalimu aka daktari wa ODM nakusalimu kwa amani ya bwana!

Achana na Kongosho manake umbea ndio kazi yake, siku akiacha anarudi kijijini...

Ukinionea Erotica aka my lovely mke mwenza umpe salamu zangu! Mwaaaaaah to you lovely kungwi!

`````````Amen ma dearest. Kongosho najua sasa anatapa tu kama mganga aliyeshindwa kuagua. huyu Erotica yuko honey moon ndoa ilipita na kwasasa wanakazia maskio na macho.
 
Maskini nitonye ulimtoa kafara ili utajirike?

`````````Amen ma dearest. Kongosho najua sasa anatapa tu kama mganga aliyeshindwa kuagua. huyu Erotica yuko honey moon ndoa ilipita na kwasasa wanakazia maskio na macho.

Nitape tape au nimetulia nabembelezwa?
Mwenzio nikibebwa nakunja miguu lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…