Ahsante AIRTEL!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Nikiwa miongoni mwa watu waliopatwa na mkasa
wa kukatwa fedha na Airtel naona si busara kukaa
bila kutoa feedback hapa jamvini kuwa hatimaye fedha
hiyo imerudi kwenye Account yangu! Ahsante kwa
usikivu wenu. Huo ndio usikivu tunaouhitaji. Narudia tena
SALIO LANGU LIMERUDISHWA!
 
Mi nashangaa nikongeza salio linakuja mara mbilimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…