Ahmedinajad ni nzima wa afya Netanyahu yuko wapi?

Ahmedinajad ni nzima wa afya Netanyahu yuko wapi?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,126
Reaction score
24,422
Ahmedinajad ni nzima wa afya

Kuna propaganda humu kuwa eti aliuliwa

Uzushi umekua mwingi sana humu

Netanyahu yuko wapi?Kuna tetesi kuwa ameangamizwa na makombora ya Iran yeye na Cabinet yake
 
Ahmedinajad ni nzima wa afya

Kuna propaganda humu kuwa eti aliuliwa

Uzushi umekua mwingi sana humu

Netanyahu yuko wapi?Kuna tetesi kuwa ameangamizwa na makombora ya Iran yeye na Cabinet yake

Wewe, bila shaka yawezekana umekwishaanza kupatwa na uwendawazimu! Unasikia yasiyokuwepo, unaona ambayo hayapo.

Ulichokiandika siyo tetesi, bali ni hisia ambazo zinawakumba wagonjwa wa akili. Wagonjwa wa akili wanaona na kusikia yasiyokuwepo.

Netanyahu, ni mzima na leo ametoa statement juu ya mipango ya Israel katika kuhakikisha Iran haitakuja kuwa tishio la usalama kwao.

Kama umebakia angalao na akili jalo kidogo, soma hapa:

Anton Troianovski and Johnatan Reiss

March 2, 2026, 12:08 p.m. ET2 hours ago
Anton Troianovski and Johnatan Reiss
Earlier today, Defense Secretary Pete Hegseth said: “This is not a so-called regime change war, but the regime sure did change.”
Netanyahu, in contrast, said earlier today that the objectives of this U.S.-Israeli operation against Iran include “forging the conditions for the brave Iranian people to remove the yoke of tyranny.” He said that when that day comes, “Israel and the United States will be there with the Iranian people.”
 
Ahmedinajad ni nzima wa afya

Kuna propaganda humu kuwa eti aliuliwa

Uzushi umekua mwingi sana humu

Netanyahu yuko wapi?Kuna tetesi kuwa ameangamizwa na makombora ya Iran yeye na Cabinet yake
Kwahiyo ndio tuseme thread tayari!
 
Back
Top Bottom