Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,409
- 8,811
fallacy of false cause.Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu.
Mimi nadhani huyu mwamba katuletea bundi, bora asepe tu tumrudishe Manara hata kama hatumpendi.
Update:
Tangu Ahmed Ally aje Msimbazi timu yetu haijawahi kuifunga timu ya Yanga
Mara yamwisho tumeifunga Yanga kule kigoma kwenye FA goli 1 bila, wiki hiyo mgogoro wa Manara na Barbra ulikuwa kwenye peak. Baada ya Manara kwenda Yanga, kijana machachari Ahmed Ally akaja Simba. Sasa tangu aje Simba hatujawahi kuifunga Yanga mara 5 mfululizo, binafsi nahisi huyu mwamba ana...www.jamiiforums.com
Over.
Kwani yeye ndo anaecheza uwanjani? Badala ya kulaumu benchi la ufundi na wachezaji wenu butu akina phiri unamlaumu afisa habariHuyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu...
Tumetoka kwa C.E.O tumehamia kwa semaji la CAFHuyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu...
Umesahau kwenye michango ya nani zaidi ile michango ilikua kiasi gani na je unakumbuka walitupangaje khs matumizi ya ile michango?Wewe Kama Shabiki, umechangia Simba Shs ngapi mwaka huu? Maana Mpira ni Pesa
Hakuna mshabiki wa Simba anayefikiri afisa habari analeta matokeo , Simba hatujawai kuwa hivyo semea club Yako sio simba .Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu.
Mimi nadhani huyu mwamba katuletea bundi, bora asepe tu tumrudishe Manara hata kama hatumpendi.
Update:
Tangu Ahmed Ally aje Msimbazi timu yetu haijawahi kuifunga timu ya Yanga
Mara yamwisho tumeifunga Yanga kule kigoma kwenye FA goli 1 bila, wiki hiyo mgogoro wa Manara na Barbra ulikuwa kwenye peak. Baada ya Manara kwenda Yanga, kijana machachari Ahmed Ally akaja Simba. Sasa tangu aje Simba hatujawahi kuifunga Yanga mara 5 mfululizo, binafsi nahisi huyu mwamba ana...www.jamiiforums.com
Over.
YANGA BINGWA...Acha kubeti la sivyo utaroga soon ,maana hasira hizi ni za mkizi kabisa
Gundu ni weweHuyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu.