Sharia ni ngumu sana kuifata isipokuwa kwa wenye Taqwa.
Neno Taqwa limetafsiriwa namna tofauti lakini zote zinarejea kwenye:mkuu samahani, lakini Taqwa ni nini?
Kweli tuna-hug tena bila ya kificho! tuna-hug mama zetu, baba zetu, kaka zetu, watoto wetu,ndugu zetu (jinsia moja) katika Uislamu...Kazi kweli. Sidhani jamaa hawahug. Wanahug kwa kificho.