Ahmadinejad: Iran is now a nuclear state


Hilo aliwezekani nadhani jibu nikilamtu kuwanayo, Mimi nafanananisha na tatizo la silaha lilivyo marekani, wanashindwa kuzuia mwishowe basi kila mtu ruhusa kuwanayo! Unaonaje hiyo, Bongo tungekuwa nayo na Id amini angekuwa nayo pia na wengine.
 

UNAJUA MSEMO WA WATALEBANI?
"They have watch, we have time" Kwa maana kwamba wao wamerakani wana saa sisi tuna muda, kIFUPI AWAJAMAA wanapigana kisayansi wananikumbusha ule msemo wa bob kuwa "Anayepigana na Kukimbia huishi kupigana tena na tena" na ndio style taleban.
 
unahaki ya kucheka, kwani Watelebani ni jeshi la taifa ama genge la magaidi, WAARABU WOTE KWA UJUMLA WAO wanaweza kupigwa na USA, ila amani USA haiwezi kuleta kwa mtutu wa bunduki asilani......
Israel tu, anatetemesha Arabuni kote, aaah usifananishe Maji na MAFUTA ya kula....Marekani ni ulimwengu mwingine katika uwanja wa vita....narudia lakini si katika kuleta AMANI....funguka macho.
Wakati IRAN wanashangilia leo kumiliki Nuclear mwaka 1945 USA alikua nayo tayari...
 

Wacha upumbavu wa kuwaabudi wakamua mavi maiti.waarabu ni watu hatari sana Dunia leo iko hali tete kwasababu ya Waarabu
 
Wacha upumbavu wa kuwaabudi wakamua mavi maiti.waarabu ni watu hatari sana Dunia leo iko hali tete kwasababu ya Waarabu

Kweli wewe kilaza, Afghanistan siyo Waarabu..get your record right

Iran siyo Waarabu pia..historia imekupiga jenga pole sana sunday school nuksi!

Waarabu ni hatari kwa mujibu wa nani? kwa vigezo gani? au unaimba kama kasuku wimbo wa mabwana zako pole.
 

Kama wamerakani ni wazuri wa vita si waanzishe hiyo vita na Irani?

Kwanini kelele nakutembea kuomba omba msaada kwa dunia nzima?

Wamerakani ni waoga, malaya na mashetani..kama wao wanaume kweli waanzishe vita tuone America VS. Irani ..nitafurahia sana hiyo siku??

Wameanza kutembeza bakuli la kuomba wamempeleka malaya wao (clinton) waarabu wawasaidie kupigana badala yao ..damn
 
Tumaini agenda zako ni za kijihad.Umesema Marekani ni waoga ,malaya na mashetani.dini yako inawafundisha hivi.Kuhusu Iran,jujui kama kuna internal strife within,watu hawana haki,ma mullah ndio wameshika usukani.Kuna watu wananyongwa kila siku.

Huyu rais wako wa Iran kipenzi ni circus,anajua washia wenzake wanauliwa ovyo huko nchi za kiarabu,lakini hawezi kulalamika hata siku moja,badala yake ni rhetoric kwa Israel.

kama ujuavyo waarab wengi ni sunni,kama Iran itakuwa nuclear,basi Wasaud,Waegypt na nchi zote za kiaarabu(sunni) zitataka kuwa na nuclear bomb.Kusema Clinton(malaya) sijui una maana gani,chuki uliyonayo unaweza kulipua .Na hisi uko majuu,wazungu wamekupa kila kitu,unatakiwa uwe deported somalia au afghanistan au Palestine kama utakubalika na watu hao.

Israel itafanya kazi yake,haitaweza kukubali milele kuwa na tishio toka kwa stupid Mullah ambao hawanyoi ndevu zao chafu.
 
Tumaini,wakume kubrainiwash misikitini.Usije ukatulipua siku moja kwa kutumia suicide mission
 

Ha ha ha unafurahisha kweli mimi sipewi kitu na wazungu mimi naishi katika Ardhi ya Muumba wa mbigu na dunia..naweza kuishi popote na nafanya kazi zangu kama wewe unawaogopa wazungu kwakuwa wanakupa maisha yako pole mimi namtegemea Muumba period!

Mimi niko huru na kazi yangu ni kusema ukweli tu kama wamerakani siyo mashetani wanafanya nini kwenye nchi za watu ambao hawajawavamia? Iraq na Afhanistan?

Kama wamerakani siyo malaya (tena anayehonga) ni dume kweli si waanze kupigana na Irani ya nini kutembea duniani kote kuomba msaada kwa watu wengine wapigane kwa ajili yao? dalili za uwoga na umalaya

Chuki nilizonazo ni kwa watu wote wanaoau watu wengine wasio na hatia duniani popote walipo...hiyo ni principal..wewe kama mshabiki wa mashetani utajiju mwenyewe
 
Tumaini,wakume kubrainiwash misikitini.Usije ukatulipua siku moja kwa kutumia suicide mission

Huna hoja umebaki kulalamika..ndio aina wasomi wetu kazi kwelikweli..sunday school nuksi (ulipewa mtihani nini) soma uelewe dunia
 
kuwa makini acha kushabikia kifo
 
una uhakika wewe utapona?
 
una uhakika wewe utapona?

Then waache kelele kama hawawezi vita ni waoga, waacha umalaya wa kuomba mataifa mengne kwenda vitani kwa ajili yao..wakae kwao dunia itakuwa na amani period!

Wakitaka vita walianzishe tunawasubiri kwa hamu..after all tutakufa hata kama hatukwenda kupigana does it make any difference?
 
Tumaini alianza kwa wapalestine,sasa yuko kwa iran,kesho atakuwa kwa wa PAKI,
lakini Tumaini bado anajiita Mtanzania.Ulaya itapata shida sana miaka ijayo kwa kuwaruhusu
Waislamu design ya Tumaini,maana baada ya 77 bombing na attack ya Glagow airport na hawa watoto wa Allah duniani itawekwa ransom na hawa terrorist.

America imesheelewa ,lakini Ulaya viongozi bado wako political correct.Wananchi wameelewa ,hata uwape nini ,watataka sharia law,baade kuwaforce wanawake wavae kitaliban,hapo civilisation itakwisha.tanzania hatutakuwa immune
 

Ni ripoti basi kwa mabwana zako
 

Ni kweli lakini ni hatari zaidi anapokuwa nazo punguani kama Ahmadinejad.

Na je siku Marekani ikija kuongozwa na punguani ita kuaje? If they can elect a lame duck like George Bush then they are capable of also one day electing a punguani. My main point is that it's hypocracy to stop someone from having something you yourself own. Kama wana taka iwe fair basi wa advocate kila mtu(pamoja na wao marekani) kuto kuwa na nuclear weapons.

Huwezi kuguarantee kichwa cha mtu ambae ata kuja kuwa madarakani be it Iraq or America. Wakati wa cold war Marekani na Urusi nusu walipuane kisa nini unajua? Kitu fulani kilipita angani mmoja wao akadhani ni makombora ya mwenzie. Yani ni Mungu tu kwamba nothing happened. Hiyo ni sign kwamba as long as these weapons are around it is a risk.
 
walisema hayo hayo kabla ya vita ya Pili ya Iraq kuwa itakwaa kisiki, maana Sadam na JESHI lake la Taifa wako makini sana, na wanauzoefu wakutosha.
Ambacho bado hamuamini kushinda vita hii ya kisasa haitaji kelele na majisifu kama Iran, Taifa la Uyahudi pale linawatesa miaka nenda rudi.
kupigwa Iran ni swala la kimkakati, lakini sitaki kuamini kama wao wanajeshi Imara hata kupigana na A frika Kusini, ama Misri.
Na kwenye kujibu hoja hupaswi kuleta matusi, ni upi Umalaya wa Bibi Clinton, sikushangai , ila ni tatizo la kimfumo na kimalezi....unajua chanzo chake...
 
I like this short guy, his confidence... nimefurahi kuwa amewataarifu tu hao wamarekani kuwa it is just the first 'butch' Hope there are some butches coming!!!!
wamarekani wanadhani wao tu ndio wana uwezo na wanahaki ya kumiliki, kama hazina maana kwanini wao wawe na vinu vya nuklia na wanavitunza kwa gharama za mamilioni ya dollar??? jamani kunya anye kuku,akinya bata oooh kahara........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…