Ahhh Enzi zetu kila kitu kilikuwa fresh totoz fresh na nyimbo zilikuwa fresh..

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,030
Yani tulikuwa tukingia ndani ya club tunanza kucheza na watoto wa kike walikuwa wazuri orignal sio hawa wasiku hizi, ngozi zinavutwa mpaa zinakaribia kufika kwenye kisogo chao.

Mchina kishwa wa haribu na madawa yake, yani wakipata karibu yako unasikia wananuka kama njiwa kaoza vile.

WAKUU MNAUKUMBUKA HUU WIMBO...
 
Last edited by a moderator:
1. Enzi zenu ni zile ambazo mwanaume unaweza kungoja kwenye nguzo ya umeme masaa hata sita na hujui kama binti atatokea
sababu simu za mikononi hazikuwepo

2. Enzi zenu ni zile ambazo unaweza kutongoza msichana leo akakaa hata miezi miwili nawe unangoja kupewa jibu,eti bado anafikiria.
HIZO NDIZO SIMULIZI ZA ENZI HIZO SIJUI NI KWELI AU LA.
3. Si vibaya mwanamke akijipamba apendavyo japo pia si vibaya akiamua kutotumia mapambo yoyote,huo ni mwili wake na yeye ndie MENEJA MKUU wa mwili wake.
 
Yani tulikuwa tukingia ndani ya club tunanza kucheza na watoto wa kike walikuwa wazuri orignal sio hawa wasiku hizi, ngozi zinavutwa mpaa zinakaribia kufika kwenye kisogo chao.

Mchina kishwa wa haribu na madawa yake, yani wakipata karibu yako unasikia wananuka kama njiwa kaoza vile.

WAKUU MNAUKUMBUKA HUU WIMBO...

kaka hapo nilipokoleza kama umewatusi vile!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom