😁😁 kisingizio new model24m? Sijajihusisha na kununua gari muda mrefu. Manake mpaka IST inauzwa 24m. Mama hii nchi imemshida aisee, au ndio DP world?
Kodi bandarini ni kubwa sana24m? Sijajihusisha na kununua gari muda mrefu. Manake mpaka IST inauzwa 24m. Mama hii nchi imemshida aisee, au ndio DP world?
SawaDuuh, IST iliyofika hadi 13m toka kwa Mjapan enzi za Magu, leo 25m?
Rav4 34m?
Ni wakati muafaka sasa wa kuongeza BRT route, SGR iwe kila siku, ijengwe nyingine kuunga Mbeya - Dom - Mwanza na Dom - Kigoma.
Magari yashakuwa ni kwaajili ya MAJIZI na MAPIGAJI.