Agiza korosho kwetu

Hongera mkuu kwa ujasilia mali. Korosho zako zimekaangwa kwa mafuta, kuokwa au kuchomwa kwenye vigae? Na Dar unapatikana wapi?
 
Duuh gharama za usafiri toka mtwara hadi huku kama nataka za kula tu si bora ninunue hapa hapa town.

Halafu mkuu kwa ushauri tu biashara ya kutuma hela then mtu akutumie mzigo bado ni risk sana kibongo bongo.
 
Nawez kutuma ukalpa utapoupokea.
Duuh gharama za usafiri toka mtwara hadi huku kama nataka za kula tu si bora ninunue hapa hapa town.

Halafu mkuu kwa ushauri tu biashara ya kutuma hela then mtu akutumie mzigo bado ni risk sana kibongo bongo.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Natafuta shamba la kulima korosho
 
KWA bei hiyo,zisafirishe mwenyewe Kisha uelekeze watu wapi wataeza kupata KWA Dar es salaam,lakini kutumiwa KWA bei hyo na usafiri ni watu hapo uongo,hebu pita kisutu ukute bei yake ni 18000 Kushuka chini KWA kilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…