Agiza kitabu unachokitaka kwa bei nafuu

Agiza kitabu unachokitaka kwa bei nafuu

chamajani

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
552
Reaction score
33
Wanajf, Ni wazi kwamba vijana wetu walio Chuo Kikuu na Taasisi nyingine za Utafiti tunakabiliwa na uhaba mkubwa wa vitabu vya taaluma mbalimbali(Uchumi, Uhasibu, Siasa, biashara, Globalization, Statistics na mfano wake). Tuna stock ya kutosha ya vitabu hivi na tunaviuza kwa bei "ya Kitanzania". Agiza kitabu ukitakacho sasa na kama tunacho kwenye stock yetu nitakupa PM ya namna ya kukipata kitabu hicho (Soft copy only).

Angalizo: Vitabu vya lugha ya kiswahili hatuna.
 
Mimi nakitafuta kiatabu,a novel inatwa "my dear bottle" na "after 4:30pm".
Japo vya Novel sio vingi tulivyonavyo (vingi ni academic na professional), lakini taja jina la mwandishi ndio itakuwa rahisi kukitafuta
 
Naweza pata improving public policy theory cha cleote,f?????? na kitabu cha understanding african politics cha Allen c ???
 
Mkuu sjui kama unaweza angalau kuonyesha haswa ni vya progrm zip ndo unavo na haswa kwa wanafunz wa mwaka wa ngap kama inawezekana lakin ili kurahisisha
 
Masomo yote, na kuanzia Undergraduate hadi higher profesional level. Ni mwisho wa mwaka hivyo tunajiandaa kuingiza matoleo mapya ya 2014 ndio maana tutauza kwa discounted price
 
Poa ...jaribu kunichekia hivyo. Ilivyoviuliza hapo juu
 
"Kilimanjaro and its People" by Charles Dundas.
 
Ebu angalia Stock yenu kama ina hivi vitabu :1.AN INTRODUCTION TO ACCOUNTANCY" By P. D KARKHANIS, 1.1. 1970. Makerere University Printery, Kampala Uganda. 2. Auditing 1 (Principles and Concepts) First Edn, KATC&CPA1 (including KASNEB Questions and Answers), By Nicholaus T.T. SIMIYU, PROFESCO BUSINESS TRAINERS KENYA (The most recent one is needed). 3.COLIN DRURY (2008). Management and Cost Accounting, Student's Manual 7edn, South-Western.-CENGAGE Learning. Publisher: Pat Bond.

KAMA MNAVYO MAJIBU WEKA HAPA HAPA JAMVINI (PM ONLY FOR B'NESS).
 
Hatuna vyote hivyo
 
Teheteh, wee vitabu ulivyosoma wakati mnazindua Makerere Univ. unataka kuwapa hivyohivyo wanafunzi wako, duuh^^

Ha ha ha ha hawa wandishi wasasa nakopi na kupaste vya zamani, afu kwa kujifanya wanajua wanakosea English na wanapotosha maana halisi ya Concept. Vitafute ndg ni vizuri sn
 
Kuna ukweli hapo mkuu, lakini kwa hivi vya hawa wenzetu wa huku Western, wao kila kitabu kikiwa na toleo jipya ndio kinakuwa na ubora zaidi ila kwa huko kwetu hom, nakubaliana na wewe mkuu. Hakuna vitabu siku hizi kuna wajanja walioanza kuistukia google zamani then waka-copy na kupaste.
 
Me naomba unichekie kitabu kinaitwa the law of succession in kenya,mwandish wake ni mkenya ila ckumbuk jina la mwandishi kina cover la blue
 
Ebu angalia Stock yenu kama ina hivi vitabu :1.AN INTRODUCTION TO ACCOUNTANCY" By P. D KARKHANIS, 1.1. 1970. Makerere University Printery, Kampala Uganda. 2. Auditing 1 (Principles and Concepts) First Edn, KATC&CPA1 (including KASNEB Questions and Answers), By Nicholaus T.T. SIMIYU, PROFESCO BUSINESS TRAINERS KENYA (The most recent one is needed). 3.COLIN DRURY (2008). Management and Cost Accounting, Student's Manual 7edn, South-Western.-CENGAGE Learning. Publisher: Pat Bond.

KAMA MNAVYO MAJIBU WEKA HAPA HAPA JAMVINI (PM ONLY FOR B'NESS).

Nimepata; COLIN DRURY (2008). Management and Cost Accounting, Student's Manual 7edn. Hata hivyo vingine naweza kukutafutia pia.
 
Back
Top Bottom