Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 820
- 1,373
- Thread starter
- #61
Shirt nzuri za kiume 🔥*
Bei 22000
AGIZA KARIAKOO
Bei 22000
AGIZA KARIAKOO
Uaminifu ni uwakika mkuu..hii ndio kazi yetu hatuwezi kuharibu kazi bossUaminifu upo wakutosha ? Kuna dada nimewahi fanya nae biashara ni mwaminifu na anatuma vitu kwa haraka zaidi by two times nimemtumia pesa mara yakwanza elfu 70k nikachukua kiatu cha Air Force na kwa wakati kikanifikia , Juzi kati nimemtumia laki moja na nusu 150k akanitumia Jeans 👖 ya elfu 30k nzito na nzuri na size yangu , Cadeti ya 45k elfu nzuri na yakiwango vicobas , na sharti ya elfu 25k kiukweli kamenyooka mpaka nimependa , nimeagiza kiatu cha mwanamke kwa hakika nimekipenda pia .