Mie najiuliza kama serikali yetu sikivu inaweza kuwasilikilza Hospitali ya Aghakan/NHIF, wamachinga wa Kariakoo/TRA inashindwaje kuwasikiliza chadema? Ingewaacha hakuna mtu angejua kuna tukio la chadema Mbeya. Tumuimbe Rais wetu awe anaingilia mapema matukio yanayorudisha 4R zake.