Kwa akili kama hizi sina shaka wewe ni miongoni mwa matunda ya pale wanja wa fisi!Zanzibar ni mzigo kila mtu ataitupia virago hata bara karibuni tutai-dump Zanzibar ili waparurane macho wenyewe kwa siasa za kibaguzi. Hawana shukrani hao watu. Kazi kula kashata tu na kucheza bao hawana lolote ndio maana Agha Khan kawatupia virago.
Iwapo Jengo la Mambo Msige liteendelezwa kinyume na standards za STDCA, basi SMZ watakuwa wamechemsha sana, na kuiondoa Zanzibar katika Heritage Sites.Mbona habari inajieleza vema kwanini aghakan ameondolewa..
Lakini wachangiaji wanaonyesha chuki kwa zanzibar; duh
Serikali ya zanzibar imefanya uamuzi mzuri sana...
Kinyungu ama kinyungunyungu? Zanzibar saivi hakuna siasa za ubaguzi, sasa ivi kuna uzanzibari! Ndio tunakula kashata na kahwa lakini ndo tulokujengeeni k.koo na ajira tukawapa, na ustaarabu tukawafundisha! Visiwani hakuna ubaguzi. Kwaiyo ata mkiitupa tanganyika kwetu naona mtaparurana nyinyi! Makabila 120, vita vya Uganda vitakua na afadhali! Kinyungunyungu, kuweni wastaarabu kwanza!
Kwa akili kama hizi sina shaka wewe ni miongoni mwa matunda ya pale wanja wa fisi!