chuchunge
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 215
- 164
Nimeenda leo Agha Khan Morogoro,reception wanapaswa kufungua saa 2 asb mpaka saa 2.32 bado tu wanajizungusha na kupiga story mpaka unawaomba jamani tunahitaji kuhudumiwa haswa receiption,mdada ana attitude as if huduma tunapewa bure kumbe tunalipia,anapiga story na wenzake na kuacha kuhudumia,tunapokuja private hospitals tunategemea huduma ziwe better than government na kutumia muda mfupi,kwa hili Agha Khan you need to change.