zebedayo musibha
Senior Member
- Oct 26, 2019
- 111
- 86
Kwanini usigombee wewe bwashee!Jimbo la MWIBARA ni moja ya majimbo matatu yanayo unda wilaya ya BUNDA
Jimbo hili linaundwa na kata 12 ambazo ni BUTIMBA, KASUGUTI, NYAMIHORO, NERUMA, KIBARA, CHITENGULE, NANSIMO, KISORYA , NAMPINDI, IGUNDU, IRAMBA NA NAMHULA
Shughuli kubwa za uchumi ndani ya jimbo hili ni UVUVI, KILIMO NA UFUGAJI lakini hadi sasa hakuna mikakati yeyote ktk kukuza uchumi wa jimbo
Miundo mbinu kama barabara na vivuko kwa usafiri wa visiwani na maeneo mengine jirani ni mibovu sana licha ya mvua lakini hata kabla, miundombinu haikuwa rafiki.
Huduma za jamii kama vile AFYA, ELIMU NA MAJI bado sio rafiki
Hali hii imewafanya wana mwibara kwa pamoja kuitaji kiongozi atakae tuvusha 2020
Na agenda ya wana mwibara wanaitaji kiongozi kama Cypirian Majura Musiba ambaye ameonesha uthubutu ktk harakati za maendeleo
Kama ilivyo kuwa kwa mitume kama PAULO (Sauli) alivyokuwa na falisafa ya HAKI KWA IMANI watu hawakumwelewa lakini alivipiga vita vilivyo vikuu
Mtume wa kweli kwa wana mwibara 2020 Mr. MUSIBA anatosha
hapana, anatosha sana. sioni kama unaweza mlinganisha na vilaza kama lema wa arusha mjini.Kama Mwibara wanamhitaji Musiba basi bado mpo karne ya 18.
Siasa na sawa na ekolojia,Musiba huyu pimbi au kuna mwingine?
Jimbo la MWIBARA ni moja ya majimbo matatu yanayo unda wilaya ya BUNDA
Jimbo hili linaundwa na kata 12 ambazo ni BUTIMBA, KASUGUTI, NYAMIHORO, NERUMA, KIBARA, CHITENGULE, NANSIMO, KISORYA , NAMPINDI, IGUNDU, IRAMBA NA NAMHULA
Shughuli kubwa za uchumi ndani ya jimbo hili ni UVUVI, KILIMO NA UFUGAJI lakini hadi sasa hakuna mikakati yeyote ktk kukuza uchumi wa jimbo
Miundo mbinu kama barabara na vivuko kwa usafiri wa visiwani na maeneo mengine jirani ni mibovu sana licha ya mvua lakini hata kabla, miundombinu haikuwa rafiki.
Huduma za jamii kama vile AFYA, ELIMU NA MAJI bado sio rafiki
Hali hii imewafanya wana mwibara kwa pamoja kuitaji kiongozi atakae tuvusha 2020
Na agenda ya wana mwibara wanaitaji kiongozi kama Cypirian Majura Musiba ambaye ameonesha uthubutu ktk harakati za maendeleo
Kama ilivyo kuwa kwa mitume kama PAULO (Sauli) alivyokuwa na falisafa ya HAKI KWA IMANI watu hawakumwelewa lakini alivipiga vita vilivyo vikuu
Mtume wa kweli kwa wana mwibara 2020 Mr. MUSIBA anatosha
Hakuna malefu yasio kuwa na nchaNanukuu
"Hakuna Mwibara bila Kangi Lugola na hakuna Kangi Lugola bila Mwibara" kangi lugola 2014
Unampigia debe kaka yako Musiba huyuhuyu Lumumba Fc?Hakuna malefu yasio kuwa na ncha
Na hakuna mwanzo usio kuwa na mwisho
Dhana hiyo hiyo alikuwanayo MTAMWEGA 1995 -2005
Leo yuko wapi.
Usifananishe wanamwibara kama matejaUnampigia debe kaka yako Musiba huyuhuyu Lumumba Fc?
Ni bora jimbo liongozwe hata yule teja mdude nyagali kuliko huu upuuzi
Soma I'd ya mleta mda utangundua jambo...Kwanini usigombee wewe bwashee!
Msalimie kakaako huyo musiba usisahau kumwambia kuwa Musiba nae ni Kama misiba mingine tuUsifananishe wanamwibara kama mateja
Huu ndio msimamo wa wanamwibara kuwa agenda yetu 2020 ni MUSIBA
Hivyo napaza sauti
Yaonekana huyu jamaa ni ndugu yako. Ushauri wangu ni kwamba badala na kuanza kampeni na kuonesha kwamba anafaa, ungeomba ushauri jinsi gani mpate Mbunge anayefaa. Hatutegemei tena watu wanaotoa ahadi ya maendeleo wakati tunajua kazi ni uwakilishi na siyo maendeleo. Enzi za ahadi za uongo ziishie awamu ya 4.Usifananishe wanamwibara kama mateja
Huu ndio msimamo wa wanamwibara kuwa agenda yetu 2020 ni MUSIBA
Hivyo napaza sauti
1. ALFAXADI KANGI LUGOLAYaonekana huyu jamaa ni ndugu yako. Ushauri wangu ni kwamba badala na kuanza kampeni na kuonesha kwamba anafaa, ungeomba ushauri jinsi gani mpate Mbunge anayefaa. Hatutegemei tena watu wanaotoa ahadi ya maendeleo wakati tunajua kazi ni uwakilishi na siyo maendeleo. Enzi za ahadi za uongo ziishie awamu ya 4.
Tunachoweza kufanya hapa, ni kumjadili Msiba pamoja na wagombea wengine. Je, yeye ndo the best? Yawezekana wote wakawa ni hoi lakini yeye ana nafuu. Lakini pia yawezekana wote wakawa safi kabisa lakini yeye ndo top. Naomba ulete majina mengine tujadili, badala ya wewe kutueleza kwamba ndo the best.