G grace saria New Member Joined Feb 11, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Feb 24, 2012 #1 Je huyo mama mwenye mtoto aliye muhimbili analalamika kuwa mtoto wake aliparalaizi alipochomwa sindano afanyiwe upasuaji je alisaini ile fomu ya makubaliano kabla ya operation kuwa anaruhusu mtoto wake apewe dawa ya usingizi na kufanyiwa operation?
Je huyo mama mwenye mtoto aliye muhimbili analalamika kuwa mtoto wake aliparalaizi alipochomwa sindano afanyiwe upasuaji je alisaini ile fomu ya makubaliano kabla ya operation kuwa anaruhusu mtoto wake apewe dawa ya usingizi na kufanyiwa operation?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,658 Feb 24, 2012 #2 nafahamu ni mgeni sasa ungebadilisha heading ya thread ingesomeka
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Feb 24, 2012 #3 moja ya sababu ya kusaini hiyo form ni kujikinga kisheria na makosa ya kidaktari