Nadhani wanawake wakienda kwa mtindo wa Kugeana elimu kwa style hii wengi wanatabadilika. Tatizo wengi wanakosea wanapoanza kumdhalilisha mtu mara kumsema vibaya mwisho wa siku naye ana panic hakuna kinachoeleweka. Shukran mtoa post na wachangiaji wote. Mdo mdo tutafika tu